Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Sio mbaya Sana. Maisha bado yapo, na Dodoma ipo [emoji23] na kama sio Dom bado kuna mikoa mingine.

Usijeniambia hata chief asili hupajui
Sijui hata iko upande gani[emoji38]

Kipindi stand ya Jamatin imehamishiwa sabasaba nilikuwa sijawahi kwenda.
Hee nikakuta tunapitiliza[emoji23].
Na mimi nilikuwa naenda Nyerere square kule Barabara ya 7..nilipotea.


Dom nimeishi kizembe sana.
Ilikuwa nakaa kule milimani hadi siku ya kufunga chuo ndio narudi kwetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…