Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Hii hapa. Nahisi ushawahi kuiona selfika [emoji23] View attachment 1874708
Ni moshi tu unakuwa na flavor, unavuta mdomoni then unautoa nje kupitia mdomoni au puani. Sio sigara wala bangi hii

Ina'vibe lakee [emoji41]
Chaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Dunia ina mambo hii[emoji119][emoji119][emoji120]

Selfika mwaka Jana uliwahi weka picha ya St Anna.
Ninayo hadi Leo[emoji116]
JamiiForums1237246690.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa hatuhesabu. Usitupanikishe.
[emoji6][emoji2956][emoji2956]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseeee

Nyie siyo wanywaji tu[emoji119][emoji119][emoji119]mnaelekea kwenye ulevi.

Siku nikikaa na nyie si nitazimia[emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom