Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Ziko pombe ni nzuri unaweza ukanywa ama ukachanganyiwa kwenye juice ama mocktails na usijue kama umewekewa pombe.

Mfano kuna vermouth (martin bianco ama martin rosso)hizi ni sweet and sour, na hazina kale kaukali ka u spirit, ukionja utataka uongeze tena na tena na tena mwisho utalewa kabisa.
Aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haina shida

kama huna interest wala usijilazimishe kabisaa...
Js do drinks u enjoy the most...

or cocktails wanazomix liquor kiasi kwa mbali so u get sweet n sour flavours at once..
Sema tu ukishaanza muwa mnywaji unapata kiu ya pombe yako flani...its nice to unwind every now and then...
Kumbe pombe ina addiction eeh!
Ila sidhani kama naweza kuwa addicted.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuuu wangu umechambua sana vileo.....unaonekana ww ni mkemia mmoja hatari sana......[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]kila pombe naona umeidadavua kwa marefu na mapana


itoshe kusema ukoo deep

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Na ukinikuta bar kwenye match za simba navyokunywa alvaro hutoamini. 😂
 
mkuuu wangu umechambua sana vileo.....unaonekana ww ni mkemia mmoja hatari sana......[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]kila pombe naona umeidadavua kwa marefu na mapana


itoshe kusema ukoo deep

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Tumpe ukatibu wenezi akishirikiana na Jack[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii tabia niliifanya nilikuwa kwenye kipart mtaani. Nikaanza kuchana karatasi kuna kaka akaniambia unajua maana yake? Nikamwambia sijui, niambie....

Akasema ukichana hivyo mbele ya mzungu au watu wanaoelewa watajua unamanisha 'you want someone for jigijigi ... Sikumbishia maana jamaa ni tour guide. Sasa sijui ni kweli au fix tu
[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom