Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Ziko pombe ni nzuri unaweza ukanywa ama ukachanganyiwa kwenye juice ama mocktails na usijue kama umewekewa pombe.

Mfano kuna vermouth (martin bianco ama martin rosso)hizi ni sweet and sour, na hazina kale kaukali ka u spirit, ukionja utataka uongeze tena na tena na tena mwisho utalewa kabisa.
Yeees cocktails ni very nice option pia

u may try Mojito Saint Anne
 
Yaani hata hizo local imported sizijui.
Inshort sijui chochote kuhusu pombe.
Naona mnataja tu majina,natoa macho.

Watu walikuwa wanauliza eti at Anne umejiita sababu ya ile pombe?
Nikajiuliza pombe gani tena jamani[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
Haina shida

kama huna interest wala usijilazimishe kabisaa...
Js do drinks u enjoy the most...

or cocktails wanazomix liquor kiasi kwa mbali so u get sweet n sour flavours at once..
Sema tu ukishaanza muwa mnywaji unapata kiu ya pombe yako flani...its nice to unwind every now and then...
 
naona uzi umegeuka kuwa wa Saint Anne ,naomba mfungue uzi mwngne wa kumwelezea,leteni visa tu hapa tusonge mbele.

mimi kiukweli nikilewa naona kama bar nimejenga mim n wahudum nimewaajir mim.nawapelekesha mno

nikilewa namtindo wa kuongea kama nalalamika ivi [emoji3][emoji3][emoji3]

nikilewa nakuwa nachezesha ufunguo wa wa kufuli la getho (solex) nikijifanya nna gari.

nikilewa kichwa chini mda wote kina hamu

nikilewa alafu nikapigiwa simu napokea alafu naigiza kama mtu ambaye hajalewa.matokeo yake naulizwa vipi siku hizi unaimba kwaya??

nikianza kunywa nakuwa mstaraabu ila ukiona pombe imekolea nimeanza kuchana chana yale makaratas kwenye bia baas lolote linaweza kutokea.

nikilewa huwa naamini kesho ntapata mkwanja mrefu sana [emoji3][emoji3][emoji3]

nikilewa huwa naona wengine kama wana shida nying sana na mkomboz wao ni mimi

nikilewa kiwango cha kuchakata papuchi kinaongezeka na mara nyingi stoi wazungu

nikilewa hata nivae condom 3 mkuyenge haulali kabsa yan.

la mwisho nikilewa huwa najisemea kimoyo miyo leo ndo mwisho wangu wa kulewa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Yaani hata hizo local imported sizijui.
Inshort sijui chochote kuhusu pombe.
Naona mnataja tu majina,natoa macho.

Watu walikuwa wanauliza eti at Anne umejiita sababu ya ile pombe?
Nikajiuliza pombe gani tena jamani[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
Local ni made in Tz ' serengeti lite, castle, Kilimanjaro, nk

Imported za nje. Mfano Smirnoff, desperados nk
 
Nipo small planet
Hapo kuna pisi kali na zinasukuma vyombo plus sheesha kama hazina akili nzuri. Yani mimi na kvant yangu nakaa kitako napokea somo kutoka kwa mapro. Anavuta puff moja la sheesha analishushia na fundo heavy la bia. Afu anakuambia aah hii sheesha ya hapa huyu shebby (muuzaji) haiweki kali [emoji23][emoji23] haina mzuka.
 
Aah we [emoji1787][emoji1787][emoji1787] hata certificate tu sina.
mkuuu wangu umechambua sana vileo.....unaonekana ww ni mkemia mmoja hatari sana......[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]kila pombe naona umeidadavua kwa marefu na mapana

itoshe kusema ukoo deep

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
naona uzi umegeuka kuwa wa Saint Anne ,naomba mfungue uzi mwngne wa kumwelezea,leteni visa tu hapa tusonge mbele.

mimi kiukweli nikilewa naona kama bar nimejenga mim n wahudum nimewaajir mim.nawapelekesha mno

nikilewa namtindo wa kuongea kama nalalamika ivi [emoji3][emoji3][emoji3]

nikilewa nakuwa nachezesha ufunguo wa wa kufuli la getho (solex) nikijifanya nna gari.

nikilewa kichwa chini mda wote kina hamu

nikilewa alafu nikapigiwa simu napokea alafu naigiza kama mtu ambaye hajalewa.matokeo yake naulizwa vipi siku hizi unaimba kwaya??

nikianza kunywa nakuwa mstaraabu ila ukiona pombe imekolea nimeanza kuchana chana yale makaratas kwenye bia baas lolote linaweza kutokea.

nikilewa huwa naamini kesho ntapata mkwanja mrefu sana [emoji3][emoji3][emoji3]

nikilewa huwa naona wengine kama wana shida nying sana na mkomboz wao ni mimi

nikilewa kiwango cha kuchakata papuchi kinaongezeka na mara nyingi stoi wazungu

nikilewa hata nivae condom 3 mkuyenge haulali kabsa yan.

la mwisho nikilewa huwa najisemea kimoyo miyo leo ndo mwisho wangu wa kulewa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hakika na stori ziendelee. Anna tumeshamshauri vya kutosha.
 
nikianza kunywa nakuwa mstaraabu ila ukiona pombe imekolea nimeanza kuchana chana yale makaratas kwenye bia baas lolote linaweza kutokea.
Hii tabia niliifanya nilikuwa kwenye kipart mtaani. Nikaanza kuchana karatasi kuna kaka akaniambia unajua maana yake? Nikamwambia sijui, niambie....

Akasema ukichana hivyo mbele ya mzungu au watu wanaoelewa watajua unamanisha 'you want someone for jigijigi ... Sikumbishia maana jamaa ni tour guide. Sasa sijui ni kweli au fix tu
 
Back
Top Bottom