geraldincredible
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 2,035
- 7,223
Professor DepalAmarula ule uchungu hatouweza.
Au apige strawberry lips [emoji7] ataona kama anakunywa yoghurt strawberry flavored.
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Professor DepalAmarula ule uchungu hatouweza.
Au apige strawberry lips [emoji7] ataona kama anakunywa yoghurt strawberry flavored.
Yeees cocktails ni very nice option piaZiko pombe ni nzuri unaweza ukanywa ama ukachanganyiwa kwenye juice ama mocktails na usijue kama umewekewa pombe.
Mfano kuna vermouth (martin bianco ama martin rosso)hizi ni sweet and sour, na hazina kale kaukali ka u spirit, ukionja utataka uongeze tena na tena na tena mwisho utalewa kabisa.
Yes I've trained most of my girls this way. Before me hawakuwhi hata kuonja. Now they don't want to stop. Sema nimesafisha sana matapishi yao [emoji23][emoji23][emoji23]Maybe with a drinking boyfriend...mzoefu
na ajue huyu ni learner ataenjoy...
nimefika....[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]mbona sioni viuno au nimelewaNipo small planet
Haina shidaYaani hata hizo local imported sizijui.
Inshort sijui chochote kuhusu pombe.
Naona mnataja tu majina,natoa macho.
Watu walikuwa wanauliza eti at Anne umejiita sababu ya ile pombe?
Nikajiuliza pombe gani tena jamani[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Aah we 🤣🤣🤣 hata certificate tu sina.
DuuuuhhhhYes I've trained most of my girls this way. Before me hawakuwhi hata kuonja. Now they don't want to stop. Sema nimesafisha sana matapishi yao [emoji23][emoji23][emoji23]
Local ni made in Tz ' serengeti lite, castle, Kilimanjaro, nkYaani hata hizo local imported sizijui.
Inshort sijui chochote kuhusu pombe.
Naona mnataja tu majina,natoa macho.
Watu walikuwa wanauliza eti at Anne umejiita sababu ya ile pombe?
Nikajiuliza pombe gani tena jamani[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kunywea nyumbani dah! Nadhani apate full experience ya kubamizwa na bass la mziki huku vyombo vinapanda taratibu
Hapo kuna pisi kali na zinasukuma vyombo plus sheesha kama hazina akili nzuri. Yani mimi na kvant yangu nakaa kitako napokea somo kutoka kwa mapro. Anavuta puff moja la sheesha analishushia na fundo heavy la bia. Afu anakuambia aah hii sheesha ya hapa huyu shebby (muuzaji) haiweki kali [emoji23][emoji23] haina mzuka.Nipo small planet
mkuuu wangu umechambua sana vileo.....unaonekana ww ni mkemia mmoja hatari sana......[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]kila pombe naona umeidadavua kwa marefu na mapanaAah we [emoji1787][emoji1787][emoji1787] hata certificate tu sina.
Jiunge tu kuongea na Saint Annenaombeni tujikite kwenye mada husika.
woiiiLocal ni made in Tz ' serengeti lite, castle, Kilimanjaro, nk
Imported za nje. Mfano Smirnoff, desperados nk
Long live JF ningekuwa mjini ningekuwa hapo ila nipo road trip.nimefika....[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]mbona sioni viuno au nimelewa
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Hakika na stori ziendelee. Anna tumeshamshauri vya kutosha.naona uzi umegeuka kuwa wa Saint Anne ,naomba mfungue uzi mwngne wa kumwelezea,leteni visa tu hapa tusonge mbele.
mimi kiukweli nikilewa naona kama bar nimejenga mim n wahudum nimewaajir mim.nawapelekesha mno
nikilewa namtindo wa kuongea kama nalalamika ivi [emoji3][emoji3][emoji3]
nikilewa nakuwa nachezesha ufunguo wa wa kufuli la getho (solex) nikijifanya nna gari.
nikilewa kichwa chini mda wote kina hamu
nikilewa alafu nikapigiwa simu napokea alafu naigiza kama mtu ambaye hajalewa.matokeo yake naulizwa vipi siku hizi unaimba kwaya??
nikianza kunywa nakuwa mstaraabu ila ukiona pombe imekolea nimeanza kuchana chana yale makaratas kwenye bia baas lolote linaweza kutokea.
nikilewa huwa naamini kesho ntapata mkwanja mrefu sana [emoji3][emoji3][emoji3]
nikilewa huwa naona wengine kama wana shida nying sana na mkomboz wao ni mimi
nikilewa kiwango cha kuchakata papuchi kinaongezeka na mara nyingi stoi wazungu
nikilewa hata nivae condom 3 mkuyenge haulali kabsa yan.
la mwisho nikilewa huwa najisemea kimoyo miyo leo ndo mwisho wangu wa kulewa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mawasiliano Park kwa wana TukuyuNjoo Mawasilano tuone kama hautalewa
Tuna jambo letu mkuu tusamehe...lazma aje kutoa na yeye experience yakenaombeni tujikite kwenye mada husika.
Hii tabia niliifanya nilikuwa kwenye kipart mtaani. Nikaanza kuchana karatasi kuna kaka akaniambia unajua maana yake? Nikamwambia sijui, niambie....nikianza kunywa nakuwa mstaraabu ila ukiona pombe imekolea nimeanza kuchana chana yale makaratas kwenye bia baas lolote linaweza kutokea.