Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 7,982
- 27,272
Hahahaa..Mimi nikilewa nakuwa romantic, haya ni maneno niliyoambiwa na pisi. Yaani mahaba yanaongezeka maradufu. Naweza hata nikatoa machozi kwa ajili ya mapenzi nikinywa. Nabembeleza balaa. Na nakuwa mpole sana.
Kaka Jaby'z shikamoo, popote ulipo nakusalimia..!!