Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Mimi badala ya kutumia maji huwa naagiza mchemsho wa nyama na limao za kutosha.
 
Nikilewa nakuwa na busara kuna watu huninunulia pombe ili wapate madini toka kwangu nisipo kunywa sio mzungumzaji


SIMPLE BUT NOT CHEAP
 
Ongezea mchango.

Wadau wengi wamshanifundisha huko juu.
Hautolewa hata nilianza kunywa toka darasa la 5 A"

Nilikuwa nachopendea kunywa nikilewa naenda kulala bila bughuza wa kushtuka nilikuwa naipa pombe za wazazi wangu au naomba kidogo nimiminiwe

Hadi nikawa muandamizi

Hadi leo Alhamdulah, nna uwezo wa kumaliza Kvant au konyagi kubwa na nisisumbue,

Kreti la serengeti lite namaliza

Namshukuru sana MUNGU nikilewa sitapiki

Pombe nzuri sana naipenda mno ni kama mke wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…