Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Nadhani hiyo ni kwa mtu anayeanza mkuu.
Ukiwa expert basi unajimixia tu kama mkemia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani hiyo ni kwa mtu anayeanza mkuu.
Mimi nakunywa castle lager kubwa lkn bila kumix na vant sipati stimu kabisa[emoji3]Nadhani hiyo ni kwa mtu anayeanza mkuu.
Ukiwa expert basi unajimixia tu kama mkemia.
Hapa nilishapewa hadi ofa.hao mawakala wa shetani [emoji23][emoji23]
Sasa mkuu wewe ni mlevi uliyeshindikana.Mimi nakunywa castle lager kubwa lkn bila kumix na vant sipati stimu kabisa[emoji3]
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Kwanini mkuu??Sasa mkuu wewe ni mlevi uliyeshindikana.
Ila pombe tamu bwana ushauri wa jamaa ni wa ukweli na anaonekana ni mbobevu katika huo mchepuoHapa nilishapewa hadi ofa.
Mimi badala ya kutumia maji huwa naagiza mchemsho wa nyama na limao za kutosha.Nimefuatilia sana maongezi yako nimegundua kwa hatua uliyofikia, sio swala la "if" tena, ni swala la "when".
Manake ni kwamba wewe lazima utakuja kunywa tuu ni swala la mda [emoji2]
Sasa acha nikushauri vizuri ili usije ukapata shida siku ukiamua kunywa na pia ili uenjoy na usipate matatizo.
1. Kabla ya kunywa, tambua kua pombe hua inaendana na chakula. Kuna vyakula haviendi na pombe so usije ukala pilau, wali maharage au ugali kwa mtindi halafu uende kuweka pombe utaadhirika! Pombe inapenda utangulize nyamanyama (zozote) na ndizi roast ivi ndio inakua mwake.
2. Kwavile wewe ndio utakua unaanza, ni bora uanze na vinywaji laini, vitamu na ambavyo havitakutesa baadae. Ushauri wangu:
- Alter wine. Hii wine ni nzuri, ina ladha tamu sana na sio kali. Pia kwenye chupa yake kuna Msalaba mkubwa ambao kimsingi unakuondolea kabisa dhambi. Mimina alter wine nusu glasi halafu jazia na coke baridi and enjoy.
- Amarula. Bonge moja la kinywaji tamu sana ina kaharufu kama ka chocolate na ipo kama chai ya maziwa. Hii unamimina kwenye glasi ya wine robo tatu kisha unajazia na maji kidogo usinywe dry itakukereketa.
- Kuna wine nyingine kama Robertson, Saint Anne nk hizi utakuja kujaribu baadae kadri utakavyokua unaendelea [emoji3]
- Usinywe bia. Bia nyingi hua ni chungu na zina ma hang over utaichukia pombe mapema.
3. USICHANGANYE POMBE! Katika maisha yako ya unywaji, kamwe usichanganye aina mbili za pombe. Yaani usinywe wine halafu baadae uweke beer and vice versa utapata tabu sana.
4. MAJI ni kitu muhimu sana kuwa karibu. Ukiona kama unalewa au hujielewi elewi we piga maji glasi moja unarudi kuwa normal.
Nikutakie mwanzo mwema.
Hakuna hiyo kitu. Hatari sanaNadhani hiyo ni kwa mtu anayeanza mkuu.
Ukiwa expert basi unajimixia tu kama mkemia.
Nikufundishe?Nataka siku moja nijaribu kunywa nione kulewa kunakuwaje.
Ila nadhani siwezi kulewa .
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23]Nikufundishe?
Wewe huwa unachanganya?Hakuna hiyo kitu. Hatari sana
Mbona unacheka mtakatifu[emoji23]
Tunamalizia ufusika wote mzee
Ongezea mchango.Mbona unacheka mtakatifu
Yes ila moto wake nauona nikichanganya.Wewe huwa unachanganya?
Hautolewa hata nilianza kunywa toka darasa la 5 A"Ongezea mchango.
Wadau wengi wamshanifundisha huko juu.
[emoji23]Yes ila moto wake nauona nikichanganya.