Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hatimaye nimepiga selfie moja hapa tayari mama mtumishi

Lakini inakuja na masharti lukuki kama misaada wa mabeberu [emoji1787] [emoji1787]

Promise kwamba nikiipandisha hiyo hapa basi suala la mvinyo tutaliweka pending
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Masharti lukuki dah[emoji1787]
Itabidi nikaitumie kama dhamana ya mkopo benki.. Nina imani ina qualities zote za good collateral [emoji6]


Naomba niione baba mtumishi[emoji2960]
Ukinipa full,,I promise mvinyo tutautupia pembeni.,nitaendelea kumsifu Bwana huku nikitazama picha ya Mtumishi Wake.
 
Reactions: Pep
Si unasikiaga tu fulani kapiga samba soti!!.. kajaribu nawewe ushuhudie hapa utakavyofika juu ya Dari.

NB: ukinywa usisahau kuvaa suruali usije piga samba soti ukatuachia radhi sie..[emoji23]

View attachment 1877565
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Siwezi piga hizo samba[emoji23],nguvu zenyewe za kupiga nazitoa wapi???

Suruali ni mtihani kwangu,kwanza Sina[emoji23]
 
Wale KE wakishakunywa halafu zinahamia kwenye K raha sana. Huanza kubembeleza wagegedwe maana ugwadu wao hupanda na kuwa plus plus na huwa wanataka tu uendelee kuwapa utamu. 😜
 
Okay, twende jamvini kule

Ukini quote kule make sure hukai mbali within 2 minutes
 
[emoji25]
Nilipoteza mzazi siku chache zilizopita.
Umekuwa msumari sana kwangu.

Natafuta tu namna ya kupata usingizi usiku[emoji4],nafikiri kawine katanisaidia.
Oooh pole Darling [emoji177]

Tafuta wine hizi sweet kama altar or Mohan's hulewi unachangamka tu...na unasahau shida kwa muda
 
marafiki zangu mimi walishanisoma

utaskia we bitcoin njoo kuna ndoo yako moja apa


natafakari najiambia kwani nini


uyoo nkilewa sasa nageuka boss

wape kama walivooo [emoji23][emoji23]

Kesho sina ata ya maji ya kunywa. ila unajitukana maisha yanazonga [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usikunywe pombe dear
Wengine tumeanza toka primary school kuacha mpaka Kaburi liamue


Ha ha ha umenichekesha sana mkuu. Tuko pamoja me nazani nilianza nikiwa tumboni nilivyozaliwa nikastop nilivyofika darasa LA tatu nikaanza kuonja onja mbege mpka nilipohitimu darasa LA saba secondary nikaanzana na bia mpka leo.

Ila kunakipindi napumzikaga miaka miwili, mmoja, miezi. ili mradi kutengeneza mazingira ya kumisiana.
 
Eti tangu tumboni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]

Mazingira ya kumisiana[emoji23][emoji23][emoji23]

Huu uzi dah nimecheka Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…