Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hebu acha kujitoa ufahamu bhanaaa waulize wadau wako lol!!!
Wanakuandalia mazingira ya kukuinguza kwenye 18 ucheue ndoo zingine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]marafiki zangu mimi walishanisoma
utaskia we bitcoin njoo kuna ndoo yako moja apa
natafakari najiambia kwani nini
uyoo nkilewa sasa nageuka boss
wape kama walivooo [emoji23][emoji23]
Kesho sina ata ya maji ya kunywa. ila unajitukana maisha yanazonga [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo sister K anaishi wapi?
Nina imani wengi hawajui.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hunitakii mema wewe lol!!! Hahahahaha njoo pm nikujibu kwa UFASAHA Mama Mtakatifu.
Nina imani wengi hawajui.
Ukinijibu hapa utakuwa umefundisha jamii nzima[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tugawane majukumu boss.Njoo pm kisha wewe Mama Mtakatifu utakuwa ni wajibu wako kuwaelimisha wengine [emoji23][emoji23][emoji23]
Tugawane majukumu boss.
Mimi nihubiri injili,wewe utatufafanulia kwa kina kuhusu huyo sister [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Njoo upate darasa Mama Mtakatifu ili uwaeleweshe waumini wako. [emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weee Usiniambie [emoji2960]
Wacha bwana[emoji2960][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nakusubiri ujue nimeshaandaa notes za nguvu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wacha bwana[emoji2960]
Huyo sister k atakuwa mtu famous Sana eeeh!
Nasubiri notes[emoji2960][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nasubiri notes[emoji2960]
Shikamoo mwaaalimu[emoji1787]
Nitumie[emoji2960]Notes zinapatikana pm tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] njoo uchukue nondo za nguvu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakushauri usijaribu,hio kitu tuache sisi ambao tulianza kunywa tangu utotoni,ukijifunzia ukubwani itakuletea shida.Nataka siku moja nijaribu kunywa nione kulewa kunakuwaje.
Ila nadhani siwezi kulewa .
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikilewaga huwa natongoza chochote kilicho mbele yangu..hata mbwa...hahhaa
Kila aina ya pombe na tabia zake!
Mimi kinywaji changu ni KVANT sio kwamba naipenda sana noo sababu naimudu gharama yake!
Nikilewa kvant huwa natoa siri sana halafu nakuwa mmbea kinoma...
Kama uliniambia ishu ya siri ukanisisitiza nisiiseme!!!...nikinywa kvant nitaitoa tuu halafu hapohapo naanza kujutia...
Najiapia sitakunywa tena kvant!!
Lakini utasema nimeandikiwa fungu langu ni la kvant tuuu.kesho nitainywa.
Bia ni mpenzi wa kili..
Nitakunywa nitalewa vzr nitaongea point taeleweka..
Ila mwisho kvant lazma ihusike..
Hapa nacheka pub nzima [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]