Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

marafiki zangu mimi walishanisoma

utaskia we bitcoin njoo kuna ndoo yako moja apa


natafakari najiambia kwani nini


uyoo nkilewa sasa nageuka boss

wape kama walivooo [emoji23][emoji23]

Kesho sina ata ya maji ya kunywa. ila unajitukana maisha yanazonga [emoji23][emoji23][emoji23]
Wanakuandalia mazingira ya kukuinguza kwenye 18 ucheue ndoo zingine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hunitakii mema wewe lol!!! Hahahahaha njoo pm nikujibu kwa UFASAHA Mama Mtakatifu.
Nina imani wengi hawajui.
Ukinijibu hapa utakuwa umefundisha jamii nzima[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Njoo pm kisha wewe Mama Mtakatifu utakuwa ni wajibu wako kuwaelimisha wengine 😂😂😂
Nina imani wengi hawajui.
Ukinijibu hapa utakuwa umefundisha jamii nzima[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Njoo pm kisha wewe Mama Mtakatifu utakuwa ni wajibu wako kuwaelimisha wengine [emoji23][emoji23][emoji23]
Tugawane majukumu boss.
Mimi nihubiri injili,wewe utatufafanulia kwa kina kuhusu huyo sister [emoji23]
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Njoo upate darasa Mama Mtakatifu ili uwaeleweshe waumini wako. [emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weee Usiniambie [emoji2960]
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nakusubiri ujue nimeshaandaa notes za nguvu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wacha bwana[emoji2960]
Huyo sister k atakuwa mtu famous Sana eeeh!
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Mimi huwa nakuwa msumbufu kwa wahudumu wa kike huwa nawashika mapaja halafu huwa nachagua wa kuagiza bia hasa wale wenye miguu mizuri nikishamshika mapaja bia ikiisha namchagua mwingine wa kumuagiza bia kamtindo kangu kanakuwa ndio hakohako.
 
Kila aina ya pombe na tabia zake!
Mimi kinywaji changu ni KVANT sio kwamba naipenda sana noo sababu naimudu gharama yake!

Nikilewa kvant huwa natoa siri sana halafu nakuwa mmbea kinoma...
Kama uliniambia ishu ya siri ukanisisitiza nisiiseme!!!...nikinywa kvant nitaitoa tuu halafu hapohapo naanza kujutia...
Najiapia sitakunywa tena kvant!!

Lakini utasema nimeandikiwa fungu langu ni la kvant tuuu.kesho nitainywa.

Bia ni mpenzi wa kili..
Nitakunywa nitalewa vzr nitaongea point taeleweka..
Ila mwisho kvant lazma ihusike..

Bufa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom