Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Nitazimia kwa watu[emoji1787]Njoo tupombeke wote weekend hii ....twende zetu rud's farm kunduchi
Tupige mawine na vitimoto vya ukweli, maisha ni haya haya [emoji848]
[emoji44]kumbe!Huyo ya jina lako inaleta tatizo la mfumo wa kukonsivu utakapohitaji mtoto...
Piga altar, Mohan's, swedit n. k
Inategemea asee...kwanza mi sili cha mtuUkijilegeza imo
Hatulewi bana...sasa wine unaanzaje kulewa zaidi ya kuchangamkaa?Nitazimia kwa watu[emoji1787]
[emoji120][emoji120][emoji120]Asante kwa kampani.
Ngoja nikishajaribu nyumbani nione kama naweza.
Tatizo sijawahi kunywa kabisa [emoji23] sijui hata zinanogaje mdomoni.Hatulewi bana...sasa wine unaanzaje kulewa zaidi ya kuchangamkaa?
Hao ni Malaya mkuu, haina haja hata ya kupindisha....[emoji28] kwamba ukilewa genye zinatoka zote !!! Hii nimeipenda, ila ni kweli aise raha ya pombe ni utafakari maisha yako huku uki enjoy. Mdada anatakiwa kuwa makini mnoooo yani.kuna mmoja alilewa na boyfriend wake akaanza kumpiga vidole bar na ile sehemu ina watu wengi ila wao hawaelewi kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh yeh we kazi unayo[emoji848][emoji16]Tatizo sijawahi kunywa kabisa [emoji23] sijui hata zinanogaje mdomoni.
Si ajabu naweza fika hapo hizo wine zikanishinda kunywa[emoji1787],,wacha nizijaribu kwanza radha yake.
Kazi kubwa ninayo.[emoji1787]Teh yeh we kazi unayo[emoji848][emoji16]
Eeh kwa huko ushuani ushuani sawaInategemea asee...kwanza mi sili cha mtu
Na ukininunulia sitaki, sitaki vinywaji vya stranger mezan kwangu, coz mpakaa nafika hapo nimebugdet mfuko wangu...
Na shobo shobo mezani kwangu sitaki, maana walevi hawanaga adabu..
Sema inategemea unaenda viwanja vipi, vya kistarabu hawana huu ujinga!
Kunywa pombe mkuu sio sifa....kunywa kistarabKazi kubwa ninayo.[emoji1787]
Mimi ni mshamba halafu mzembe,
Uzee wangu wote huu sijawahi gusa pombe dah!
Uzee umeanza lini😅Kazi kubwa ninayo.[emoji1787]
Mimi ni mshamba halafu mzembe,
Uzee wangu wote huu sijawahi gusa pombe dah!
Mwana wako au??Wanawake mkilewa mna mambo ya hovyo[emoji38]. Kuna mmoja the first time kumuona ametok kazini akaunga bar ambayo nilikua na rafiki zangu tukakaa nae meza moja maana ni rafiki wa jamaa angu, yule dada akaanza vijistori kwamba yy hataki kabisa mambo ya wanaume na bla bla nyingiii
Alivolewa bana si akanifuata anataka tucheze, mi nikaw namtuliza nikastukia kanipiga na denda anasema nimuangalie kashaanza kulewa. Kufupisha stori ni kwamba mi nilikua namsubiri demu wangu akaja nikawa nae busy na yule dada aliliwa na mwana. Pombe zilivokata akajikuta kaliwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Usinywe sana kwa mwanzo utafrah[emoji28][emoji28][emoji28]Nataka siku moja nijaribu kunywa nione kulewa kunakuwaje.
Ila nadhani siwezi kulewa .
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikajua stranger nilikuwa nikushangae maana alikuambia kabisa umlinde
[emoji23]yani usiku tunaona mambo mengi sana aiseee. Afu unakuta ni vibinti vidogo tuu. Ila napenda sana vimbwanga vya usiku japo kuna muda nakerekaHao ni Malaya mkuu, haina haja hata ya kupindisha....
Sasa mtu na heshima zako utaanzaje kupiga/ kupigwa mafingers ya mndukuni?
Hao ni Malaya PROMAX...wameshajisusaa[emoji848]
Ww na heshima yako nipe namba dm na unadharau Heineken nakununulia unalewa nakukula na nakula 0755 yakoHao ni Malaya mkuu, haina haja hata ya kupindisha....
Sasa mtu na heshima zako utaanzaje kupiga/ kupigwa mafingers ya mndukuni?
Hao ni Malaya PROMAX...wameshajisusaa[emoji848]
[emoji16][emoji16][emoji16] unaenda bar kuangalia vituko[emoji23]yani usiku tunaona mambo mengi sana aiseee. Afu unakuta ni vibinti vidogo tuu. Ila napenda sana vimbwanga vya usiku japo kuna muda nakereka
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisaa. Vituko vingine nafanya mwenyewe[emoji23] . Wewe nakuonaga sana stori zako za jiji la darisalama unaonekana sana mtu wa viwanja. Siku tutalewa wote[emoji16][emoji16][emoji16] unaenda bar kuangalia vituko
Uko kama mimi
Ha ha ha mkuu mi silewagiKabisaa. Vituko vingine nafanya mwenyewe[emoji23] . Wewe nakuonaga sana stori zako za jiji la darisalama unaonekana sana mtu wa viwanja. Siku tutalewa wote
Sent using Jamii Forums mobile app