Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Nitazimia kwa watu[emoji1787]Njoo tupombeke wote weekend hii ....twende zetu rud's farm kunduchi
Tupige mawine na vitimoto vya ukweli, maisha ni haya haya [emoji848]
[emoji120][emoji120][emoji120]Asante kwa kampani.
Ngoja nikishajaribu nyumbani nione kama naweza.