Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Nimefuatilia sana maongezi yako nimegundua kwa hatua uliyofikia, sio swala la "if" tena, ni swala la "when".

Manake ni kwamba wewe lazima utakuja kunywa tuu ni swala la mda [emoji2]

Sasa acha nikushauri vizuri ili usije ukapata shida siku ukiamua kunywa na pia ili uenjoy na usipate matatizo.

1. Kabla ya kunywa, tambua kua pombe hua inaendana na chakula. Kuna vyakula haviendi na pombe so usije ukala pilau, wali maharage au ugali kwa mtindi halafu uende kuweka pombe utaadhirika! Pombe inapenda utangulize nyamanyama (zozote) na ndizi roast ivi ndio inakua mwake.

2. Kwavile wewe ndio utakua unaanza, ni bora uanze na vinywaji laini, vitamu na ambavyo havitakutesa baadae. Ushauri wangu:

- Alter wine. Hii wine ni nzuri, ina ladha tamu sana na sio kali. Pia kwenye chupa yake kuna Msalaba mkubwa ambao kimsingi unakuondolea kabisa dhambi. Mimina alter wine nusu glasi halafu jazia na coke baridi and enjoy.

- Amarula. Bonge moja la kinywaji tamu sana ina kaharufu kama ka chocolate na ipo kama chai ya maziwa. Hii unamimina kwenye glasi ya wine robo tatu kisha unajazia na maji kidogo usinywe dry itakukereketa.

- Kuna wine nyingine kama Robertson, Saint Anne nk hizi utakuja kujaribu baadae kadri utakavyokua unaendelea [emoji3]

- Usinywe bia. Bia nyingi hua ni chungu na zina ma hang over utaichukia pombe mapema.

3. USICHANGANYE POMBE! Katika maisha yako ya unywaji, kamwe usichanganye aina mbili za pombe. Yaani usinywe wine halafu baadae uweke beer and vice versa utapata tabu sana.

4. MAJI ni kitu muhimu sana kuwa karibu. Ukiona kama unalewa au hujielewi elewi we piga maji glasi moja unarudi kuwa normal.

Nikutakie mwanzo mwema.
Duuh[emoji849][emoji36][emoji15]
 
Ahahaaa ngoja niwatafute walevi wenzangu
Shida ni moja tu ile team wakianza kulewa kila mtu huondoka kimya kimya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo unashangaa umeachwa peke ako mezani[emoji16][emoji16]
 
Ha ha ha we jamaa nahisi anal sphincter muscles zako zimetanuka, zinahitaji ndonga!

Mi ni mwanaume ndio, ila sifiriii sawa? Endelea kutafuta bashaa mwingine humu akubashieee,

Usinitafutie ban nitakutukana mpaka ukimbie hii ID yako sawa?
[emoji1]msamehe, jamaa anaamini kila mwanamke lazima alewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom