Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Ahahaaa ngoja niwatafute walevi wenzangu
Shida ni moja tu ile team wakianza kulewa kila mtu huondoka kimya kimya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hao nafanana nao..!! Yaani kuna watu ukiwaaga tu unaanza ona sita sita zinakuja mezani..!!! na wakati huo home mbali, na umekuja na ki-IST chako.. KUBAMIZWA NJIANI NJE NJE..!!
 
Hao nafanana nao..!! Yaani kuna watu ukiwaaga tu unaanza ona sita sita zinakuja mezani..!!! na wakati huo home mbali, na umekuja na ki-IST chako.. KUBAMIZWA NJIANI NJE NJE..!!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]
 
Huwaga lazma wapige chenji tu sababu unakuta kapiga wali marage wake safi kisha unamtungua na kitu cha uwele safi nyongo lazma ishtuke [emoji28][emoji28][emoji28]
Pombe haitakiwi ma wali yani ile raha yake ni supu na nyama choma basi. Toka nimeanza kupiga sijawahi kurudisha chenji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pombe haitakiwi ma wali yani ile raha yake ni supu na nyama choma basi. Toka nimeanza kupiga sijawahi kurudisha chenji

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaorudishaga chenji mara nyingi huwa wa hivi
1. Amezikuta za bure au ananunuliwa hivyo hana uhakika wa kuzipata hivi karibuni... Anazitwanga kama zotee..
2. Yupo na mtu anamnunulia, lakini hana uhakika na idadi, hivyo wa serengeti light utamsikia LETE BINGWA, kumbe mwenzie ana chupa kadhaa za kumpa... na yeye atatwanga zote 13 BINGWA
3. Kujaribu jaribu pombe mpya hasa zenye alcohol nyingi kuliko ulizozizowea
 
Ni kweli kabisa mkuu, hizi mambo ni taratibu kama vile hutaki. Mimi mara ya kwanza kunywa nakumbuka niliziparamia bahati nzuri nilikuwa na bro zangu na ilikuwa nyumbani wakanipeleka chumbani. Tokea siku hiyo ni mdogo mdogo maana unawezakuzima alafu likatokea tatizo mfano kuna jamaa yangu juzi hapa aliji lockia chooni[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi nataka tu nijaribu za wadada hizo wine[emoji4][emoji7],tena nitaonja kidogo tu,,,sitaki ule unywaji mtu anakunywa hadi analewa chakari.
Kwani unadhani ile chakali inaanzaga siku ya kwanza?? AHahahahahaa Slow but sure, kwenye mwaka wa tatu hukooo.. !! Halafu ukute na home amekuchanganya sasa..!! Ahahahaha Unapiga chakali ya maana
 
Pombe haitakiwi ma wali yani ile raha yake ni supu na nyama choma basi. Toka nimeanza kupiga sijawahi kurudisha chenji

Sent using Jamii Forums mobile app
Eeh hio inategemea kama una nyongo kali lazma chenji ijibu mzee! Mfano mie konyagi sizipendagi sababu zinanipandisha nyongo sana hata toka nilipokuwa najifunza yani nikigusa nyagi tu lazma nikitupe 😅😅😅
 
Eeh hio inategemea kama una nyongo kali lazma chenji ijibu mzee! Mfano mie konyagi sizipendagi sababu zinanipandisha nyongo sana hata toka nilipokuwa najifunza yani nikigusa nyagi tu lazma nikitupe [emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23] aisee umenikumbusha mbali, nyagi ile ni mateso sio pombe kabisa. Watu wengi hawaipigi siku hizi ile. Ile unahitajika uwe strong aise

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah kimojawapo lazma akiache hapo mezani[emoji28] sema kunywa na mtu anayejifunza ni raha sana hasa akiwa mnafahamiana ndio mnamfundisha!

Kinachotokea ni kwamba vituko vyake vile ni burudani tosha kuliko Mr. Bean atacheka cheka huyo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom