Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Ahahahahaha karibu kwenye chama..!! Ile ushauri wangu, siku ya kwanza lewea au nywea nyumbani, tena chumbani na ufunge milango kabisaa..!! Maana unaweza shangaza hadi wanaokuzunguka. Na bahati mbaya hujijui ukilewa unakuwaje..!! Ukilewea mbali, unaweza jikuta umelala mtaroni maana kuna kukosa nguvu za kufika home..!!
Kuna kulala mitaroni tena?[emoji134][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna kulala mitaroni tena?[emoji134][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani hujawahi waona wana wa hivyo? Unajuwa, wakati unakunywa, unaona muda umesimama, pombe haitoshi..etc.. unakuja shituka, saa saba usiku hii hapa na upo MBWIIIIIIIIIIIIIII...!!! Wa kuondoka bila kuaga washasepa kitambo sana, umebaki peke yako.. Unapowaza kwenda home, unaweza jikuta unajisemea, HEBU NIKAE HAPO KWANZA NIPUMZIKE KIDOGO..!!! Ntolee hiyo...!! Mara paap, kitu cha subuhi hiki hapa na upo pale pale uliposema ukae kidogo upumzike..!!
 
Mpendwa usijaribu mimi niliwahi kuchanganyiwa kwenye juice ni chungu zaidi ya kutapika na kuumwa sana kichwa hakuna zaidi huwa najiuliza walevi wako sawa kweli.
We ulikunywa pombe gani ya kishamba namna hio😅?!

Aliesema pombe inachanganywa na juisi ni nani huyo kisha akakuwekea pombe kwenye juisi! Lazma ilichacha hio juisi maana pombe imechachishwa ndio ikawa na ulevi!
 
Kwani hujawahi waona wana wa hivyo? Unajuwa, wakati unakunywa, unaona muda umesimama, pombe haitoshi..etc.. unakuja shituka, saa saba usiku hii hapa na upo MBWIIIIIIIIIIIIIII...!!! Wa kuondoka bila kuaga washasepa kitambo sana, umebaki peke yako.. Unapowaza kwenda home, unaweza jikuta unajisemea, HEBU NIKAE HAPO KWANZA NIPUMZIKE KIDOGO..!!! Ntolee hiyo...!! Mara paap, kitu cha subuhi hiki hapa na upo pale pale uliposema ukae kidogo upumzike..!!
Hizo pombe za namna hii ndio mie sinywagi 😅 pombe za mpaka unasahau kurudi kwako?
 
Kulewa inategema na kichwa cha mtu.

Me nikilewa Sana nasinzia kinyama, kwanza siongeagi sana.Macho yanalegea kichwa huo muda kinaniambia kalale kalale weee. Yan napataga sana usingizi.

Nina rafiki yangu akilewa ni aibu kwa company nzima. Napataga tabu za kumshtua 'hey stop it stop that.

Nikilewa kidogo napata vibe la kudance, nakuwa happy hatari, nakuwa story teller naongea 😂

Yote kwa yote pombe ukijua kuicontrol mbona pambe tu. Ni nzuriiiiiiiii, me hainiendeshi, naweza kata 3 months sijaitia mdomoni.
We ni mnywaji kama mimi tu, mie sijawahi kuwa mtumwa wa pombe! Nakunywa when i feel happy and excited about something good in life! Sijawahi kunywa sababu ya matatizo 😅😅😅
 
Kwani hujawahi waona wana wa hivyo? Unajuwa, wakati unakunywa, unaona muda umesimama, pombe haitoshi..etc.. unakuja shituka, saa saba usiku hii hapa na upo MBWIIIIIIIIIIIIIII...!!! Wa kuondoka bila kuaga washasepa kitambo sana, umebaki peke yako.. Unapowaza kwenda home, unaweza jikuta unajisemea, HEBU NIKAE HAPO KWANZA NIPUMZIKE KIDOGO..!!! Ntolee hiyo...!! Mara paap, kitu cha subuhi hiki hapa na upo pale pale uliposema ukae kidogo upumzike..!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Utajiskia feeling flani hivi nzuri sana hasa uwe sehem yenye mziki tulivu 😅 halafu ipigwe ngoma inayokufurahisha lazma utachezesha mikono na kichwa 😅!

Kama unaijua ile feeling ambapo sms ya imethibitishwa imeingia hela ndefu ambapo ulikuwa hujui siku inaishaje basi raha ile iwe katika muendelezo sasa😅😅😅
 
Hahaha

wana wanazungusha tu aisee mpe mbili huyo 😅😅😅
Dawa ni kusepa kimya kimya..!!! Unafanya hivi, unaondoka mara ya kwanza kama unaenda washroom, then unarudi... Unakaaa, halafu unaondoka tena kwenda washroom na unarudi tena... Mara zote hizo huagi..!!! Mara ya tatu ukiondoka kama vile unakwenda washroom, NDO UNASEPA JUMLA NA KAMA NI SIMU UNAZIMA
 
Utajiskia feeling flani hivi nzuri sana hasa uwe sehem yenye mziki tulivu [emoji28] halafu ipigwe ngoma inayokufurahisha lazma utachezesha mikono na kichwa [emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nitaweka gospel matata,au bongofleva za zananii.
 
Utajiskia feeling flani hivi nzuri sana hasa uwe sehem yenye mziki tulivu 😅 halafu ipigwe ngoma inayokufurahisha lazma utachezesha mikono na kichwa 😅
IKIKOLEA UNASIMAMA UNACHEZA..!!! Yaani wakikuwekea unaoupenda, wanakuwa wamepa mchezo show wa siku hiyo..!!! DJ akizungua unamfuata... OYAA NIWEKEE MASEBENE YA KOFFIIII... na unamtoa na bia..!!
 
IKIKOLEA UNASIMAMA UNACHEZA..!!! Yaani wakikuwekea unaoupenda, wanakuwa wamepa mchezo show wa siku hiyo..!!! DJ akizungua unamfuata... OYAA NIWEKEE MASEBENE YA KOFFIIII... na unamtoa na bia..!!
Hahahah hio nilishamfata dj kabisa nikaona ananifelisha 😅😅😅 aniwekee la fally ipupa associe au 100 kilos ya ferre gola
 
Back
Top Bottom