Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Kuna kulala mitaroni tena?[emoji134][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ahahahahaha karibu kwenye chama..!! Ile ushauri wangu, siku ya kwanza lewea au nywea nyumbani, tena chumbani na ufunge milango kabisaa..!! Maana unaweza shangaza hadi wanaokuzunguka. Na bahati mbaya hujijui ukilewa unakuwaje..!! Ukilewea mbali, unaweza jikuta umelala mtaroni maana kuna kukosa nguvu za kufika home..!!