Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Niliona.Hujaona ile clip ya hakuna mungu kama wewe yahwee ilivowabamba walevi club!
Nilicheka sana aiseeee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliona.Hujaona ile clip ya hakuna mungu kama wewe yahwee ilivowabamba walevi club!
Sasa wale wako high kichizi pale yani wanahisi kama Mungu kweli kashuka yupo nao counter pale😅😅😅Niliona.
Nilicheka sana aiseeee.
Hapo kwenye macho kulegea hapo.. SASA UKIKUTANA NA MWENYE MACHO YAKE DAH..!!! Ngoja nsiendelee...Kulewa inategema na kichwa cha mtu.
Me nikilewa Sana nasinzia kinyama, kwanza siongeagi sana.Macho yanalegea kichwa huo muda kinaniambia kalale kalale weee. Yan napataga sana usingizi.
Nina rafiki yangu akilewa ni aibu kwa company nzima. Napataga tabu za kumshtua 'hey stop it stop that.
Nikilewa kidogo napata vibe la kudance, nakuwa happy hatari, nakuwa story teller naongea 😂
Yote kwa yote pombe ukijua kuicontrol mbona pambe tu. Ni nzuriiiiiiiii, me hainiendeshi, naweza kata 3 months sijaitia mdomoni.
Sema mie hali hio ilinitokea once city pub Mbeya nililewa kichizi 😅 ikabidi nisepe aisee nilipofika home hata sielewi nilifikaje! Nimeamka asubuhi saa 5 nakuta chupa ya bia nje mlangoni 😅😅😅Dawa ni kusepa kimya kimya..!!! Unafanya hivi, unaondoka mara ya kwanza kama unaenda washroom, then unarudi... Unakaaa, halafu unaondoka tena kwenda washroom na unarudi tena... Mara zote hizo huagi..!!! Mara ya tatu ukiondoka kama vile unakwenda washroom, NDO UNASEPA JUMLA NA KAMA NI SIMU UNAZIMA
Nilishamwambiaga DJ anipangie DANCE YA BANAKONGOLE (Koffi), Allo Telephone (Fally Ipupa) afu amalizie na NYAQUATANCE (koffi) nikamwagia hela ya bia 3, nikasepa kusubiria.. alizipanga afu akazirudia.. NILIGHAIRISHA KUONDOKAHahahah hio nilishamfata dj kabisa nikaona ananifelisha 😅😅😅 aniwekee la fally ipupa associe au 100 kilos ya ferre gola
Mafyati pale nyuma ya chakula barafu zamani kama sijakosea... AU nyuma ya CRDB...Sema mie hali hio ilinitokea once city pub Mbeya nililewa kichizi 😅 ikabidi nisepe aisee nilipofika home hata sielewi nilifikaje! Nimeamka asubuhi saa 5 nakuta chupa ya bia nje mlangoni 😅😅😅
[emoji1787]Sasa wale wako high kichizi pale yani wanahisi kama Mungu kweli kashuka yupo nao counter pale[emoji28][emoji28][emoji28]
City pub niliwahi kwenda miaka ya nyuma,Sema mie hali hio ilinitokea once city pub Mbeya nililewa kichizi [emoji28] ikabidi nisepe aisee nilipofika home hata sielewi nilifikaje! Nimeamka asubuhi saa 5 nakuta chupa ya bia nje mlangoni [emoji28][emoji28][emoji28]
MaskiniiiiiiiCity pub niliwahi kwenda miaka ya nyumba,
Bro alinisomba home ooh dogo twende sijui fiesta sijui kili tour, aiseeee nililia ile siku,,,watu wanapigana vyupa.. nikamwambia anirudishe nyumbani Mimi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Maskiniiiiiii
Lakini inaonyesha hata akiwa na hela akanywa pombe nyingine lazima anywe Kvant[emoji28]Amesema noo! Sababu anaimudu gharama yake [emoji28][emoji28][emoji28]
Mmmhh tema mate chini[emoji23]
Lengo langu ni kujua tu namna kulewa kunavyokuwa.
Mimi nahisi watu huwa wanatupiga kamba tu,hakuna kitu kinaitwa kulewa.
Ah wapi!Mmmhh tema mate chini
SawaAh wapi!
Tatizo maamuzi yanakuwa sio yako, na unaweza kuonywa na ulionao na usiwasikilizeUkilewa raha sana,unacheza tu, unaenda kwa DJ unamhonga bia anapiga nyimbo ulizoomba wewe,hapo hutoki, unashangaa tu saa tisa hii hapa!
Onyo ukilewa na huwezi endesha motokaa,bora uache,chukua boda,utakuja chukua motokaa yako kesho! Maana ukilewa,ukiwa unaendesha unaweza nyoosha tu,mbele kumbe kuna round about,guess what will happen!!
Utanistua basi kipenziNataka siku moja nijaribu kunywa nione kulewa kunakuwaje.
Ila nadhani siwezi kulewa .
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mwamba alipita kwenye njia fulani ambayo at a certain point its either ukate kulia au kushoto maana mbele kuna ukuta. Jamaa alipofika hapo akanyoosha afu yupo speed, Voxy yake ikagonga na ikaanza kutoa Moshi, bahati nzuri walimuwahiUkilewa raha sana,unacheza tu, unaenda kwa DJ unamhonga bia anapiga nyimbo ulizoomba wewe,hapo hutoki, unashangaa tu saa tisa hii hapa!
Onyo ukilewa na huwezi endesha motokaa,bora uache,chukua boda,utakuja chukua motokaa yako kesho! Maana ukilewa,ukiwa unaendesha unaweza nyoosha tu,mbele kumbe kuna round about,guess what will happen!!
[emoji23][emoji23][emoji23]Utanistua basi kipenzi
Bora wewe primary.Usikunywe pombe dear
Wengine tumeanza toka primary school kuacha mpaka Kaburi liamue
[emoji38]aisee we jamaa ulikua umeanzisha safari yako, ni ajabu hukustuka muda wote huo. Hivi vitu aise sio mchezo kabisa. Kuna mwaka fulani kuna maza alikua anapiga vyombo huku ana drive alipata mzinga mbaya na kufariki hapo hapo ilisikitisha sanaHa ha ha! Ni noma kaka! Kuna siku pia nilikua pale Waswanu Dodoma,nimetoka pale badala ya kwenda Mlimwa C,ngoma nikanyooka hadi Nala huko mzani,nashangaa naona mzani,ndiyo nikajua nishapotea! Toka siku hiyo nikasema HAPANA