Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
bhana bhana,,kulewa raha ila sasa najikutaga nagawa ofa mpaka nabaki na madeni,hasubuhi ni majuto ya kutosha,ila siku mbili haziishi narudia yale yale,ila pisi huga sina nazo mpango labda ijipendekeze yenyewe,ila kama ni marafiki ni kutoa ofa mpaka hela ya mafuta😅😅
 
Imani siwezi kuiacha[emoji25]

Ni vile nataka nione tu namna watu wanavyolewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Biblia inasema " onjeni muone kuwa Bwana ni mwema"
Naye shetani anataka umuonje?
Hakika hutotoka.
Mimi nilishinda ulevi kwa muda mrefu.
Kuna kipindi nikapitia kipindi flani nikaonja...aaah ilikuwa kazi juu ya kazi kuacha
 
Sasa hapa unakunywa kvant kwa mapenzi au sababu ya uwezo kiuchumi[emoji28][emoji28]
 
Biblia inasema " onjeni muone kuwa Bwana ni mwema"
Naye shetani anataka umuonje?
Hakika hutotoka.
Mimi nilishinda ulevi kwa muda mrefu.
Kuna kipindi nikapitia kipindi flani nikaonja...aaah ilikuwa kazi juu ya kazi kuacha
Aisee[emoji134]
Kumbe nikijaribu sitatoka!

Kweli Bwana ni mwema wakati wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inabidi niwaulize Sasa wanywaji ni kilevi gani ninachoweza kunywa kitamu kitamu kinachoendana na soda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa natamani kama wewe nikaishia kuiweza kulamba-lamba St. Anna pekee,
Ule utamu wake na the way inakufanya ujiskie baada ya kunywa sikujutia, na pia nikaishia hapo.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…