Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Hapo kwenye macho kulegea hapo.. SASA UKIKUTANA NA MWENYE MACHO YAKE DAH..!!! Ngoja nsiendelee...
 
Sema mie hali hio ilinitokea once city pub Mbeya nililewa kichizi 😅 ikabidi nisepe aisee nilipofika home hata sielewi nilifikaje! Nimeamka asubuhi saa 5 nakuta chupa ya bia nje mlangoni 😅😅😅
 
Hahahah hio nilishamfata dj kabisa nikaona ananifelisha 😅😅😅 aniwekee la fally ipupa associe au 100 kilos ya ferre gola
Nilishamwambiaga DJ anipangie DANCE YA BANAKONGOLE (Koffi), Allo Telephone (Fally Ipupa) afu amalizie na NYAQUATANCE (koffi) nikamwagia hela ya bia 3, nikasepa kusubiria.. alizipanga afu akazirudia.. NILIGHAIRISHA KUONDOKA
 
Sema mie hali hio ilinitokea once city pub Mbeya nililewa kichizi 😅 ikabidi nisepe aisee nilipofika home hata sielewi nilifikaje! Nimeamka asubuhi saa 5 nakuta chupa ya bia nje mlangoni 😅😅😅
Mafyati pale nyuma ya chakula barafu zamani kama sijakosea... AU nyuma ya CRDB...
Umenikumbusha MFIKEMO
 
Sema mie hali hio ilinitokea once city pub Mbeya nililewa kichizi [emoji28] ikabidi nisepe aisee nilipofika home hata sielewi nilifikaje! Nimeamka asubuhi saa 5 nakuta chupa ya bia nje mlangoni [emoji28][emoji28][emoji28]
City pub niliwahi kwenda miaka ya nyuma,
Bro alinisomba home ooh dogo twende sijui fiesta sijui kili tour, aiseeee nililia ile siku,,,watu wanapigana vyupa.. nikamwambia anirudishe nyumbani Mimi.
 
City pub niliwahi kwenda miaka ya nyumba,
Bro alinisomba home ooh dogo twende sijui fiesta sijui kili tour, aiseeee nililia ile siku,,,watu wanapigana vyupa.. nikamwambia anirudishe nyumbani Mimi.
Maskiniiiiiii
 
Tatizo maamuzi yanakuwa sio yako, na unaweza kuonywa na ulionao na usiwasikilize
 
Kuna mwamba alipita kwenye njia fulani ambayo at a certain point its either ukate kulia au kushoto maana mbele kuna ukuta. Jamaa alipofika hapo akanyoosha afu yupo speed, Voxy yake ikagonga na ikaanza kutoa Moshi, bahati nzuri walimuwahi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha! Ni noma kaka! Kuna siku pia nilikua pale Waswanu Dodoma,nimetoka pale badala ya kwenda Mlimwa C,ngoma nikanyooka hadi Nala huko mzani,nashangaa naona mzani,ndiyo nikajua nishapotea! Toka siku hiyo nikasema HAPANA
[emoji38]aisee we jamaa ulikua umeanzisha safari yako, ni ajabu hukustuka muda wote huo. Hivi vitu aise sio mchezo kabisa. Kuna mwaka fulani kuna maza alikua anapiga vyombo huku ana drive alipata mzinga mbaya na kufariki hapo hapo ilisikitisha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…