Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Kuwa na nguvu bandia/ubabe

Kucheza mziki

Kulala

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nakuwa mbishi hlf nakuwa na hamu ya kunywa zaidi. Kama nipo na mwanamke nakuwa gentlemen and romantic-hata akidondokewa na tone la maji lazima nimuulize baby are you okay. Naweza kutumia hela yote mpaka asubuhi nikawa najiuliza kama Jana yake nilinunua kiwanja au gari nikiwa bar
 
Japo si mnywaji sana ila mara chache nilizolewa kidogo napandwa na genye hatari
๐Ÿ˜ Naomba tulewe wote plizzz sababu ulivyolewa mara ya mwisho sikuwepo...,naomba hio moment irudiwee irudiwee๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š
 
Hahahah unaona kote tambarare tu๐Ÿ˜… nakumbuka nilishawahi kumpa kitu bajaji
 
Kwan unadhani hua tunapenda basi,hua ni kampani tu,washikaji wanakusema,inabidi uliunge tu,ukifika miaka ya 45+ huko ndo unaacha sasa! Walau home saa mbili hivi upo hadi kesho
Kwahiyo mnajali washkaji kuliko hata famila [emoji134]
 
Washkaji wanaokoa jahazi ila si kwa kukesha nao hadi saa9 za usiku.

Mimi hata kama washkaji wanamuweka mume wangu mwaka mzima mjini,siwezi kuwaruhusu wakeshe nae eti arudi saa 10 kwa sababu tu wanamuweka mjini..
 
Bado hiyo haitanizuia mimi kumzuia kurudi saa 9.
Nikimhurumia sana basi ni saa4.

Uwepo wake ni muhimu zaidi kuliko hizo tofali site.
 
[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Mtu alewe kistaarabu,saa 3,4 unarudi nyumbani..
Biashara ya kurudi saa9 hapana kwa Kweli.
Kama hana plan za kujenga hana tu,saa 3 isiwe eti kisingizio[emoji4] Cha kutokujenga.
 
Utakua unapora Uhuru wake,mwache tu! Na kwanza unadhani kila siku anatakua anarudi saa tisa?? Mara chache sana,yaana saa nne au tano kesharudi
Akirudi saa9 anapora uhuru wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ