Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Kuwa na nguvu bandia/ubabe

Kucheza mziki

Kulala

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nakuwa mbishi hlf nakuwa na hamu ya kunywa zaidi. Kama nipo na mwanamke nakuwa gentlemen and romantic-hata akidondokewa na tone la maji lazima nimuulize baby are you okay. Naweza kutumia hela yote mpaka asubuhi nikawa najiuliza kama Jana yake nilinunua kiwanja au gari nikiwa bar
 
Japo si mnywaji sana ila mara chache nilizolewa kidogo napandwa na genye hatari
😍 Naomba tulewe wote plizzz sababu ulivyolewa mara ya mwisho sikuwepo...,naomba hio moment irudiwee irudiwee😊😊😊
 
Ukilewa raha sana,unacheza tu, unaenda kwa DJ unamhonga bia anapiga nyimbo ulizoomba wewe,hapo hutoki, unashangaa tu saa tisa hii hapa!

Onyo ukilewa na huwezi endesha motokaa,bora uache,chukua boda,utakuja chukua motokaa yako kesho! Maana ukilewa,ukiwa unaendesha unaweza nyoosha tu,mbele kumbe kuna round about,guess what will happen!!
Hahahah unaona kote tambarare tu😅 nakumbuka nilishawahi kumpa kitu bajaji
 
Kwan unadhani hua tunapenda basi,hua ni kampani tu,washikaji wanakusema,inabidi uliunge tu,ukifika miaka ya 45+ huko ndo unaacha sasa! Walau home saa mbili hivi upo hadi kesho
Kwahiyo mnajali washkaji kuliko hata famila [emoji134]
 
Kila kitu kina wakati wake! Familia tumeshinda wote home,toka tumetoka kanisani! Tumekula cha mchana,tumepanga mipango ya week nzima! Kama kuna tatizo tushalitatua!

Halafu washikaji,ndiyo hua wanaokoa jahazi pindi mambo yanaenda mrama! Nakuambia kabisa! Kuna mwana alitumbulia na Magu,wadau walimweka mjini mwaka mzima! Pesa za kula hazikua shida!
Washkaji wanaokoa jahazi ila si kwa kukesha nao hadi saa9 za usiku.

Mimi hata kama washkaji wanamuweka mume wangu mwaka mzima mjini,siwezi kuwaruhusu wakeshe nae eti arudi saa 10 kwa sababu tu wanamuweka mjini..
 
Utakuja pata Mshikaji,akienda kula gambe,anarudi na plan za kufa mtu,unashangaa tu weekend,anakuambia twende site,unakuta matofali 2000 yapo pale,unashangaa! Next week unakuta mafundi wana set msingi, unashangaa huyu jamaa anatoa wapi pesa?? Kumbe kwenye ulevi huko,anakutana na watu,wanampa matofali ya mkopo anakua analipa kidogo kidogo ndani ya mwezi mmoja au miwili! ,saruji pia! Ulevi wa maendeleo huo! Wanaume tunamipango mingi sana,hasa tukikutana na ma legendary,town kitambo! Sasa wewe jifungie ndani! Utajenga baada yakustaafu!!
Bado hiyo haitanizuia mimi kumzuia kurudi saa 9.
Nikimhurumia sana basi ni saa4.

Uwepo wake ni muhimu zaidi kuliko hizo tofali site.
 
[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Mtu alewe kistaarabu,saa 3,4 unarudi nyumbani..
Biashara ya kurudi saa9 hapana kwa Kweli.
Kama hana plan za kujenga hana tu,saa 3 isiwe eti kisingizio[emoji4] Cha kutokujenga.
 
Back
Top Bottom