Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Amapiano zimeanza? Mida inakaribia...

Unaambiwa zikianza hizo ondoka la sivyo utakesha

Nilikia pale platinumz dom yakapigwa hayo mapiano sana afu siyapendagi wala nini nikamia royal huko nikakuta kumejaa ile laaana nikaenda bambalaga hivyo hivyo kishingo upande.
 
Pale nyerere square kwa hivi kidogo kama waja halotel unaikuta maisha club kwa nje palikuwaga na vyuku amazing ila hawajawafikia chako ni chako.

Usiniambie pia ulikuwa huli kuku. Na bakhresa pia?

Chako ni chako na Platinumz nilikula mbuzi wa hovyo sijawahi kuona.Ilibidi nikiwa naenda hizo sehemu nikawa nakula mishikaki tu.
 
Nilikuwa najuaga mwanamke kunywa pombe ni aibu kubwa, kumbe ni kawaida bana. Nilipoenda chuo nikakutana na mdada wa kishua tukawa marafiki.
Alikuwa akitumia pombe za gharama sana hata kwao wote wanatumia pombe. Alijitahidi kunifundisha pombe ila ilishindikana kabisa.

Aliwahi niambia hivi " my wii mimi nakupenda sana kwa sababu hutumii pombe nikipata shida wewe ni mtu wa kwanza kunifata popote"

Na kweli mimi nilikuwa siendagi club, ila akienda mara nyingi alikuwa akinitumia sms ' wii niko sehemu fulani niko na watu fulani, kesho mapema nipigie sim uone kama nimerudi"

Nilichokuwa nampendea akilewa sio kwa kiingereza kile 😂😂 siku moja tulienda kula baadae akaagiza wine alikuwa akichanganya na pombe nyingine. Sasa kuna kaka mmoja akapita kwenye meza yetu akamkanyaga bahati mbaya aiseee aliongea kiingereza sikuwa kumuona hata class akichangia vile nilicheka sana. Kesho yake nikamkumbusha alikana kila kitu.

Mimi naenjoy kumtizama mlevi. Mlevi anachekaga sana, some times anaimba mlevi hanaga stress
 
Nilikuwa najuaga mwanamke kunywa pombe ni aibu kubwa, kumbe ni kawaida bana. Nilipoenda chuo nikakutana na mdada wa kishua tukawa marafiki.
Alikuwa akitumia pombe za gharama sana hata kwao wote wanatumia pombe. Alijitahidi kunifundisha pombe ila ilishindikana kabisa.

Aliwahi niambia hivi " my wii mimi nakupenda sana kwa sababu hutumii pombe nikipata shida wewe ni mtu wa kwanza kunifata popote"

Na kweli mimi nilikuwa siendagi club, ila akienda mara nyingi alikuwa akinitumia sms ' wii niko sehemu fulani niko na watu fulani, kesho mapema nipigie sim uone kama nimerudi"

Nilichokuwa nampendea akilewa sio kwa kiingereza kile [emoji23][emoji23] siku moja tulienda kula baadae akaagiza wine alikuwa akichanganya na pombe nyingine. Sasa kuna kaka mmoja akapita kwenye meza yetu akamkanyaga bahati mbaya aiseee aliongea kiingereza sikuwa kumuona hata class akichangia vile nilicheka sana. Kesho yake nikamkumbusha alikana kila kitu.

Kunywa pombe zipo zenye sukari sio zote chungu
 
No longer on keto jomba?

Nilifanya intimitent fasting nikashusha kama 20kg ndani ya 3months sasa nawaza nikirudi kwny mtungi full huku nikifanya fasting weight si itarudi palapale pa zamani?
No longer. Now nakula. Weight lazima itarudi kwahyo sometime na fast kuishusha
 
Nilikuwa najuaga mwanamke kunywa pombe ni aibu kubwa, kumbe ni kawaida bana. Nilipoenda chuo nikakutana na mdada wa kishua tukawa marafiki.
Alikuwa akitumia pombe za gharama sana hata kwao wote wanatumia pombe. Alijitahidi kunifundisha pombe ila ilishindikana kabisa.

Aliwahi niambia hivi " my wii mimi nakupenda sana kwa sababu hutumii pombe nikipata shida wewe ni mtu wa kwanza kunifata popote"

Na kweli mimi nilikuwa siendagi club, ila akienda mara nyingi alikuwa akinitumia sms ' wii niko sehemu fulani niko na watu fulani, kesho mapema nipigie sim uone kama nimerudi"

Nilichokuwa nampendea akilewa sio kwa kiingereza kile [emoji23][emoji23] siku moja tulienda kula baadae akaagiza wine alikuwa akichanganya na pombe nyingine. Sasa kuna kaka mmoja akapita kwenye meza yetu akamkanyaga bahati mbaya aiseee aliongea kiingereza sikuwa kumuona hata class akichangia vile nilicheka sana. Kesho yake nikamkumbusha alikana kila kitu.

Mimi naenjoy kumtizama mlevi. Mlevi anachekaga sana, some times anaimba mlevi hanaga stress

Unywe na wewe uenjoy
 
Back
Top Bottom