wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Amapiano zimeanza? Mida inakaribia...
Unaambiwa zikianza hizo ondoka la sivyo utakesha
Nahamia Jameson mkion kimya mjue tayari
Pale nyerere square kwa hivi kidogo kama waja halotel unaikuta maisha club kwa nje palikuwaga na vyuku amazing ila hawajawafikia chako ni chako.
Usiniambie pia ulikuwa huli kuku. Na bakhresa pia?
Amin. Leo nlikuwa napiga mdudu pale collina. Unapasoma?
Saint Anne si ajabu ukakuta hatumii mdudu pia
View attachment 1874758
[emoji38]Khaaaa yaani ww pamoja na watu kukushauri kwa nguvu zote kuwa usijaribu umekomaa tu kupangua hoja zao basi amini ulevi unakunyemelea na ukijaribu tu umekwisha.
Stay away from pombe dada yangu.
Kunywa pombe zipo zenye sukari sio zote chunguNilikuwa najuaga mwanamke kunywa pombe ni aibu kubwa, kumbe ni kawaida bana. Nilipoenda chuo nikakutana na mdada wa kishua tukawa marafiki.
Alikuwa akitumia pombe za gharama sana hata kwao wote wanatumia pombe. Alijitahidi kunifundisha pombe ila ilishindikana kabisa.
Aliwahi niambia hivi " my wii mimi nakupenda sana kwa sababu hutumii pombe nikipata shida wewe ni mtu wa kwanza kunifata popote"
Na kweli mimi nilikuwa siendagi club, ila akienda mara nyingi alikuwa akinitumia sms ' wii niko sehemu fulani niko na watu fulani, kesho mapema nipigie sim uone kama nimerudi"
Nilichokuwa nampendea akilewa sio kwa kiingereza kile [emoji23][emoji23] siku moja tulienda kula baadae akaagiza wine alikuwa akichanganya na pombe nyingine. Sasa kuna kaka mmoja akapita kwenye meza yetu akamkanyaga bahati mbaya aiseee aliongea kiingereza sikuwa kumuona hata class akichangia vile nilicheka sana. Kesho yake nikamkumbusha alikana kila kitu.
Mimi naenjoy kumtizama mlevi. Mlevi anachekaga sana, some times anaimba mlevi hanaga stress
No longer. Now nakula. Weight lazima itarudi kwahyo sometime na fast kuishushaNo longer on keto jomba?
Nilifanya intimitent fasting nikashusha kama 20kg ndani ya 3months sasa nawaza nikirudi kwny mtungi full huku nikifanya fasting weight si itarudi palapale pa zamani?
Shukrani mkuu nimekusoma,ntarudi kwny masanga na fasting itaendelea.No longer. Now nakula. Weight lazima itarudi kwahyo sometime na fast kuishusha
Aah wapi sitaki mimi uleviKunywa pombe zipo zenye sukari sio zote chungu
Kuna ulevi na Kuna kunywa kwa stareheAah wapi sitaki mimi ulevi
Yes zinakua nyiiiingiHuwa naongea kizungu
Nilikuwa najuaga mwanamke kunywa pombe ni aibu kubwa, kumbe ni kawaida bana. Nilipoenda chuo nikakutana na mdada wa kishua tukawa marafiki.
Alikuwa akitumia pombe za gharama sana hata kwao wote wanatumia pombe. Alijitahidi kunifundisha pombe ila ilishindikana kabisa.
Aliwahi niambia hivi " my wii mimi nakupenda sana kwa sababu hutumii pombe nikipata shida wewe ni mtu wa kwanza kunifata popote"
Na kweli mimi nilikuwa siendagi club, ila akienda mara nyingi alikuwa akinitumia sms ' wii niko sehemu fulani niko na watu fulani, kesho mapema nipigie sim uone kama nimerudi"
Nilichokuwa nampendea akilewa sio kwa kiingereza kile [emoji23][emoji23] siku moja tulienda kula baadae akaagiza wine alikuwa akichanganya na pombe nyingine. Sasa kuna kaka mmoja akapita kwenye meza yetu akamkanyaga bahati mbaya aiseee aliongea kiingereza sikuwa kumuona hata class akichangia vile nilicheka sana. Kesho yake nikamkumbusha alikana kila kitu.
Mimi naenjoy kumtizama mlevi. Mlevi anachekaga sana, some times anaimba mlevi hanaga stress
Kama sikunywa chuo nadhani sasa hivi haiwezekani😂😂😂Unywe na wewe uenjoy
Hii pombe ni nzuri sana....ajabu no siku hizi imepotea [emoji848]Martin rosso nilimnunulia wife kipindi flani akaipenda sana ila nimeitafuta sana mpk leo sijaipata tena.
Kumbe mkuu na wewe umeikosa?Nimeitafuta Sana lkn siipati mkuu.Hii pombe ni nzuri sana....ajabu no siku hizi imepotea [emoji848]
Tayari?Yaani nataka nione tu huwa kulewa kunakuwaje.
Nikishaona tu kunavyokuwa basi.
Sent using Jamii Forums mobile app
BadoTayari?