Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Usidhani ni rahisi hivyo kujaza nzi kwenye meza yenye bia. Nakwambia hutoboi

Nina huyu sis wangu
Ijumaa kaninyweshaaaa, jumamosi nikaamka hoi. Jumamosi jioni call nyingine njoo sehemu flani nimeenda nikaleta uzungu wa kuagiza Kilimanjaro water.
Maji nikanywa na bia nikanywa vile vile. Dhamira niliyotoka nayo home ikavurugika.

Sasa nakwambia usikae meza moja na walevi kama we sio mtumiaji. Wako na convincing power Mona matata
Haoni team ya waliokuwa wanamwambia asijaribu washasepa... ila sisi tuko naye bega kw bega hatutaki kumpoteza [emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Ngoja ipo siku nitajilipua nitajaribu.
Ila sijui naemdaje Bar kununua,msala mwingine [emoji1751]

Hivi zile chupa za wine zinaruhusiwa kuondoka nazo??au ni kama za soda ambazo lazima kurudisha[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ni take away
 
Zaidi ya masaa maNne anakula lecture? Akizingua ataikuta Smirnoff kwenye soda
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Labda nichanganyiwe bila kujua.

Ila kwa akili yangu kabisa sina nguvu ya kuagiza pombe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magoli sana. Take care.

image-2021-07-31-03:21:39-403.jpg

Shetanii Ako na nguvu jamani
 
Back
Top Bottom