ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Haoni team ya waliokuwa wanamwambia asijaribu washasepa... ila sisi tuko naye bega kw bega hatutaki kumpoteza [emoji23][emoji23]Usidhani ni rahisi hivyo kujaza nzi kwenye meza yenye bia. Nakwambia hutoboi
Nina huyu sis wangu
Ijumaa kaninyweshaaaa, jumamosi nikaamka hoi. Jumamosi jioni call nyingine njoo sehemu flani nimeenda nikaleta uzungu wa kuagiza Kilimanjaro water.
Maji nikanywa na bia nikanywa vile vile. Dhamira niliyotoka nayo home ikavurugika.
Sasa nakwambia usikae meza moja na walevi kama we sio mtumiaji. Wako na convincing power Mona matata