Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

bhana bhana,,kulewa raha ila sasa najikutaga nagawa ofa mpaka nabaki na madeni,hasubuhi ni majuto ya kutosha,ila siku mbili haziishi narudia yale yale,ila pisi huga sina nazo mpango labda ijipendekeze yenyewe,ila kama ni marafiki ni kutoa ofa mpaka hela ya mafuta[emoji28][emoji28]
Mi nikilewa huwa nina roho nzuri hivo hivo[emoji38] . Kesho yake nikianza kucheki receipts huwa naishiwa raha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimegundua nikilewa namwaga bia
Jana nimemwaga desperado ya mtu kidogo nipigwe[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] yaani lazima kaumia sana kuona kinywaji kinaishia chini
 
Kuliibuka Fuji nikajitia ka don nikampa 10,000 nikamwambia adouble bia zake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ile 10,000 mpaka saa hizi inaniuma
Haha haha lazima ila tukimwaga pombe hua hatulipani anatakiwa aagize nyingine ukiona mtu analilia pombe bado mgeni wa ligi huyo
 
Nitakufa kwa kukosa usingizi.
Mtumishi mwenzangu

Ni hali isiyoepukika kwamba tunapowapoteza wale tunaowapenda, maisha yetu hubadilika moja kwa moja.

Pamoja na mambo kadhaa tunayoweza kushauriwa na watu wetu wa karibu wenye nia njema, ila ukweli unabaki 'there is no getting over it' ama 'moving on'.

The only option tunabaki nayo, ni ku relearn maisha kwa ujumla. Maisha bila mpendwa wetu.

You have to relearn new ways of taking care of yourself, and sleeping is one of those things, mama mtumishi.

Hii hali unaipitia sasa inaitwa grief & insomnia. Kiukweli, hii ni moja kati ya stressful experiences mwanadamu anaweza pitia.

Hata hivyo, ukweli unabaki pale pale kwamba lazima upite hapa. Na, lazima upite katika namna ambayo mzee wetu atakua proud of you huko alipo.

Sio counselors, pombe wala chochote kinaweza kukutoa hapa. Only time will heal you + efforts kadhaa kutoka kwako mwenyewe.

Uzuri ni kwamba, Mungu ametuumba ku cope automatically na different situations kwenye maisha yetu. Utavuka hapa with time, trust me (I have been there as well....siongei hadithi)

Nini cha kufanya kwa sasa?

✓ Prayers (huu ndo wakati wa kumshukuru Mungu hata kama amefanya yale ambayo hatukuyataka)
✓ Socialize sana (kama unavyofanya huku)
✓Jitahidi kuwa as busy as possible - Hapa ishughulishe sana akili ichoke kiasi cha kuona option pekee iliyopo ni usingizi.
✓Kwa kujiweka busy, embu jiahidi kwamba utatumia wakati huu wa kuomboleza kufanya kitu remarkable ambacho angekuwepo angekua very proud of you. Kuna kitu unaweza fanya....pata muda uwaze vizuri.

Again, sisemi kwamba itakua rahisi....far from it.

Lakini, kwa uwezo wa Mungu, utavuka hapa. Stay positive, tunakupenda.
 
Back
Top Bottom