Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Mimi hua naanza kulia nikigida sana hasa nikipiga za kawaida then uniongezee k vant ntalia weee kama mtoto
Pombe za kingese hizo! Unaliaje sasa aisee nilikuwa na mteja akija bar akilewa lazma amkumbuke mkewe na watoto waliomuacha kisa ulevi wake basi analia balaa😅😅😅
 
[emoji4][emoji120]

Wengi wamenishauri hizo wine ulizosema.
Bado tu Sasa mimi kujilipua[emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee mtoto unakuja vizuri sana nadhani by end of di year utakuwa umekuwa sana kiakili😎...Its worth waiting!
 
[emoji25]
Nilipoteza mzazi siku chache zilizopita.
Umekuwa msumari sana kwangu.

Natafuta tu namna ya kupata usingizi usiku[emoji4],nafikiri kawine katanisaidia.
Pole sana saint anne! Nafikiri ukipata drost Hof haitadhuru kama we si mpenzi wa sukari sukari ila sweet wine kama Saint Anne, Dompo, Imagi,Namaqua hazitadhuru! Utapata excitement flani mwilini
 
Nimegundua nikilewa namwaga bia
Jana nimemwaga desperado ya mtu kidogo nipigwe[emoji1787][emoji1787]
Wanawake mkilewa mna mambo ya hovyo[emoji38]. Kuna mmoja the first time kumuona ametok kazini akaunga bar ambayo nilikua na rafiki zangu tukakaa nae meza moja maana ni rafiki wa jamaa angu, yule dada akaanza vijistori kwamba yy hataki kabisa mambo ya wanaume na bla bla nyingiii
Alivolewa bana si akanifuata anataka tucheze, mi nikaw namtuliza nikastukia kanipiga na denda anasema nimuangalie kashaanza kulewa. Kufupisha stori ni kwamba mi nilikua namsubiri demu wangu akaja nikawa nae busy na yule dada aliliwa na mwana. Pombe zilivokata akajikuta kaliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana saint anne! Nafikiri ukipata drost Hof haitadhuru kama we si mpenzi wa sukari sukari ila sweet wine kama Saint Anne, Dompo, Imagi,Namaqua hazitadhuru! Utapata excitement flani mwilini
[emoji4][emoji120]
Nitaijaribu hiyo yenye jina langu.
 
Wanawake mkilewa mna mambo ya hovyo[emoji38]. Kuna mmoja the first time kumuona ametok kazini akaunga bar ambayo nilikua na rafiki zangu tukakaa nae meza moja maana ni rafiki wa jamaa angu, yule dada akaanza vijistori kwamba yy hataki kabisa mambo ya wanaume na bla bla nyingiii
Alivolewa bana si akanifuata anataka tucheze, mi nikaw namtuliza nikastukia kanipiga na denda anasema nimuangalie kashaanza kulewa. Kufupisha stori ni kwamba mi nilikua namsubiri demu wangu akaja nikawa nae busy na yule dada aliliwa na mwana. Pombe zilivokata akajikuta kaliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna mwanamke ambaye kichwa maji wa pombe halafu asiliwe kimasihara 😅! Pombe isipotulia kichwani ina tabia ya kukimbilia kuwasha vikojoleo always!

Huyo demu alijua tu kuwa pombe haziwezi akajihami tu kuwa umlinde akilewa maana anapotezaga network kisha wahuni wanamtafuna😂 jumla jumla.

Wapo mademu wa hivi sema raha akiwa demu wako ndio umemnywesha utamla mate mpaka apate uchizi kisha unaenda mpasua ila wale wa kudandia offer ni very risky!
 
Hamna mwanamke ambaye kichwa maji wa pombe halafu asiliwe kimasihara [emoji28]! Pombe isipotulia kichwani ina tabia ya kukimbilia kuwasha vikojoleo always!

Huyo demu alijua tu kuwa pombe haziwezi akajihami tu kuwa umlinde akilewa maana anapotezaga network kisha wahuni wanamtafuna[emoji23] jumla jumla.

Wapo mademu wa hivi sema raha akiwa demu wako ndio umemnywesha utamla mate mpaka apate uchizi kisha unaenda mpasua ila wale wa kudandia offer ni very risky!
Kweli kabisa mkuu[emoji23] ila lina mzigo kama wote aisee.wana wanafaidi. Hizi papuchi zina mambo mengi sana. Mwingine kawaka juzi akakojoa pale geti la Amuz. Tunashangaa mtu anapandisha skirt anashusha mkojo pale na wala hawazi kabisaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom