Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Ebhana kipindi fulani nilitamani nijue mlevi anapata starehe gani ?
nikaenda sehemu nikachukua smirnoff ice ina ladha flani ya uchachu tamu tamu hivi basi nilikua mwenyewe nachezea simu yangu nasomasoma mtandaoni na kwakua ndio mara yangu ya kwanza kunywa pombe nikawa nasikilizia sana stimu ipoje ah nikala kichupa cha kwanza cha pili cha tatu nikaona kama kuna kakitu kapo mwilini hvi nikasebenza ya nne nikajiambia nina usafiri bora nisepe home na kulinyesha ka mvua na pikipiki nisije tia fora.
Basi nikawasha ka tvs kangu huyoo mdogo mdogo naenjoy ile hali ya mwili nikapita darajani nikalipa nikachomoka na namba ya mkata tiketi pale na sio kawaida yangu. huyooo naitafuta kibada kwa njia ya feri mjimwema sasa sumu ikaniingia nimefika kwa mwingira nikapanda kuna ki bar pale juu nikaingia nikasema ngoja niongeze vibe.

Nimefika pale nikakosa smirnoff nikaagiza safari moja nikainyonya ila ilikua inakera ladha yake naona chungu nikagida hivyo hivyo nikakamata na kichenchede pale pale nikaongeza ya pili na kenyewe kakala light tatu nikakalaghai tusepe kakakubali.
Basi nikawasha ngoma mpka home ile nimefika naona dunia yote kama nipo mwenyewe nikitikisa kichwa na michoro ya ukutani inatingishika😂😂 nikajua leo ndio shoka linaungua mpini unabaki. Dem kaenda kuoga nikamfuata huko huko nayumba balaa nikajimwagia maji dem ananicheka sana kitandani nilitumia muda sana mpka nikawa namuita majina ya madem wengine wazuri ili nikojoe nimemaliza nikajiloga kula msokoto wa bhange na dem akamoka yaani hapo ndio nilikua na hamu nitoke mziki nimefungulia juu sana nimezima taa nimeacha taa ndogo najiona kama niko peponi akili inazunguka dem nae kalala mm macho makavu naskilizia stimu baadae kwenye saa nane nika weka kingine dem analalamika asubuh nipo mzima ananiuliza jana ulitumia nn kumueleza akasema ningekua na kichwa kidogo nisingeweza himili smirnoff 4 na safari mbili na bhange yaani hakuna raha kama ile niliopata
 
Ikiwa weekend ndio imeanza mi nimeona ni share hii mada, maana mi nnapo kunywa pombe hasa pale nnapifikisha chupa ya 12 hua naanza kuchukua namba za simu za warembo wanaokatiza mbele ya macho yangu na nikifikisha chupa ya 18 hua nasogea kwenye viti virefu kaunta hapo sasa pombe baridi zinaanza kushuka huku zikisindikizwa na ala ya music laini nakamata pisi yoyote ambayo ipo bling bling nacheza nayo music huku nikimchombeza tuondoke wote tubadili kiwanja au tukalale mwisho mitego yote ikifeli namshawishi tukapige story kwenye gari kisha tutarudi akikubali tu kaisha.. ila kesho yake hua najuta kwanini nlikunywa kiasi kile mpaka nikafanya matukio kishujaa... share tabia yako baada ya kumoka View attachment 1874469
Napigia simu yeyote nitakayemkumbuka..!! Kivumbi kesho yake sasa nnapopitia simu zilizopigwa..!! Unakuta umempigia hadi anayekudai na ulikuwa unamkimbia siku zote..!! Ishu si hapo, ila ULIOWAPIGIA UMEONGEA NAO NINI?

We Bantu Lady embu njoo nawe utoe ushuhuda hapa
 
Ebhana kipindi fulani nilitamani nijue mlevi anapata starehe gani ?
nikaenda sehemu nikachukua smirnoff ice ina ladha flani ya uchachu tamu tamu hivi basi nilikua mwenyewe nachezea simu yangu nasomasoma mtandaoni na kwakua ndio mara yangu ya kwanza kunywa pombe nikawa nasikilizia sana stimu ipoje ah nikala kichupa cha kwanza cha pili cha tatu nikaona kama kuna kakitu kapo mwilini hvi nikasebenza ya nne nikajiambia nina usafiri bora nisepe home na kulinyesha ka mvua na pikipiki nisije tia fora.
Basi nikawasha ka tvs kangu huyoo mdogo mdogo naenjoy ile hali ya mwili nikapita darajani nikalipa nikachomoka na namba ya mkata tiketi pale na sio kawaida yangu. huyooo naitafuta kibada kwa njia ya feri mjimwema sasa sumu ikaniingia nimefika kwa mwingira nikapanda kuna ki bar pale juu nikaingia nikasema ngoja niongeze vibe.

Nimefika pale nikakosa smirnoff nikaagiza safari moja nikainyonya ila ilikua inakera ladha yake naona chungu nikagida hivyo hivyo nikakamata na kichenchede pale pale nikaongeza ya pili na kenyewe kakala light tatu nikakalaghai tusepe kakakubali.
Basi nikawasha ngoma mpka home ile nimefika naona dunia yote kama nipo mwenyewe nikitikisa kichwa na michoro ya ukutani inatingishika[emoji23][emoji23] nikajua leo ndio shoka linaungua mpini unabaki. Dem kaenda kuoga nikamfuata huko huko nayumba balaa nikajimwagia maji dem ananicheka sana kitandani nilitumia muda sana mpka nikawa namuita majina ya madem wengine wazuri ili nikojoe nimemaliza nikajiloga kula msokoto wa bhange na dem akamoka yaani hapo ndio nilikua na hamu nitoke mziki nimefungulia juu sana nimezima taa nimeacha taa ndogo najiona kama niko peponi akili inazunguka dem nae kalala mm macho makavu naskilizia stimu baadae kwenye saa nane nika weka kingine dem analalamika asubuh nipo mzima ananiuliza jana ulitumia nn kumueleza akasema ningekua na kichwa kidogo nisingeweza himili smirnoff 4 na safari mbili na bhange yaani hakuna raha kama ile niliopata
Nmesoma kwa makini, ulivyoanza na bhange nikaacha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nilikunywa bia 4 aina ya castle lite kwa mara ya kwanza kabisa ndio natest mitambo, ile on the one and two nikajikuta namtongoza shemeji yangu live kabisa😅😅😅

Shemeji niliona anaelekea kibra sema akakaza eti nna umri mdogo😎😎😎

Nilichogundua nikinywa Bia huwa nyeg.e zinakuja kwa kasi sana halafu nakuwa na nguvu nyingi.

Nikahitimisha tu kwamba nikienda ulevini napaswa kuwa nimeandaa kifaa cha kunyandua nisije nikatongoza watu ninaowaheshimu
 
Back
Top Bottom