Ukilinganisha haya maghorofa Mbweni Dar es salaam na Ngong Nairobi bado bei ya nyumba Dar ipo juu Sana

Ukilinganisha haya maghorofa Mbweni Dar es salaam na Ngong Nairobi bado bei ya nyumba Dar ipo juu Sana

Busu la Kenge

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2025
Posts
2,583
Reaction score
4,776
Chini ni video mbili ya maghorofa ya ki fahari. Yote yako sokoni, kwenye mitaa ya kishua na fully furnished.

Video ya kwanza hapo chini ni ghorofa liko Mbweni JKT ambalo liko sokoni Kwa shilling za kitanzania 1.3 Billion.


Video ya pili chini ni ghorofa liko Ngong Alkeri Nairobi kwenye gated estate liko sokoni Kwa shilling za Kenya million 52 Sawa na Tshillings million 900.


Kwa kulinganisha video hizi mbili Tanzania bei ya property bado juu Sana. Sijui ni njaa za madalali.

Hilo ghorofa la Nairobi ambalo ni million 900 ukilinganisha na la mwijaku 1.3 billion yani utagundua mwijaku kutupiga fiksi.

Smart911 RRONDO madmax Extrovert min -me mshamba_hachekwi
 
Chini ni video mbili ya maghorofa ya ki fahari. Yote yako sokoni, kwenye mitaa ya kishua na fully furnished.

Video ya kwanza ni ghorofa liko Mbweni JKT ambalo liko sokoni Kwa shilling za kitanzania 1.3 Billion.

Video ya pili ni ghorofa liko Ngong Alkeri Nairobi kwenye gated estate liko sokoni Kwa shilling za Kenya million 52 Sawa na Tshillings million 900.

Kwa kulinganisha video hizi mbili Tanzania bei ya property bado juu Sana. Sijui ni njaa za madalali.

Hilo ghorofa la Nairobi ambalo ni million 900 ukilinganisha na la mwijaku 1.3 billion yani utagundua mwijaku kutupiga fiksi.

Smart911 RRONDO madmax Extrovert min -me mshamba_hachekwi
Video ziko wapi? Au bando limekata? 😂
 
Kupanga ni kuchagua, bongo ni mwendo wa kukamuliwa mifoko hadi kizunguzungu sema kwa Onyango vulugu ni nyingi, unaweza kununua mjengo mkali wamtafunao Ruto miguu wakaja wakalitia kiberiti kwa madai ya kufyeka mafisadi, vijana si mnatujua tu lakini tulivyo.
 
Naunga mkono hoja. Mbweni is overrated. Lakini katika hii ya Kenya bado hakuna gharama kamili, kwa sababu gated community lazima ina additional charges za common areas maintenance. Gharama hizo ni endelevu na zinaweza kuwa kubwa sana. Wakati mwingine unaweza kuuziwa nyumba lakini ardhi ikawa sio mali yako (leasehold).

Kwahiyo comparison yako sio like for like. Hata hivyo, Mbweni is overrated and overpriced and overhyped.
 
Huko Ngong wanaupepo wa bahari?
Utitiri wa kodi na upatikanaji wa materials inaweza kuwa kipengele.
Ngong kwanza haipo Nairobi ipo County ya Kajiado.Ungeleta maghorofa mawli identical kwa ukubwa na ujenzi hoja yako ingekuwa na mantiki.Ni sawa na kulinganisha bei ya BMW Kenya na Benz Tanzania magari mawili tofauti halafu useme moja ni bei rahisi kwa sababu tu lipo Kenya bila kuzingatia utofauti wa magari na vigezo vingine.
 
Naunga mkono hoja. Mbweni is overrated. Lakini katika hii ya Kenya bado hakuna gharama kamili, kwa sababu gated community lazima ina additional charges za common areas maintenance. Gharama hizo ni endelevu na zinaweza kuwa kubwa sana. Wakati mwingine unaweza kuuziwa nyumba lakini ardhi ikawa sio mali yako (leasehold).

Kwahiyo comparison yako sio like for like. Hata hivyo, Mbweni is overrated and overpriced and overhyped.
Platinum member na sijawahi kuona unachangia. Ama una ID ya kificho, ama unaitelekeza JF.
 
Ni upigaji tu bwashee mmatumbi wa kibongo akitaja bei igawanye kwa 2 halafu ushushe kimoyo moyo hata points 5 , halafu mtajia unahiyo pesa , utasikia "ongeza ongeza hapo kidogo bwashee " huku likijichekesha kama fala.
Duh
 
Mfano mwengine ni huu hapa ya video furnished two bed rooms apartments zote ziko mitaa ya kishua Nairobi na Dar.

Ya Kwanza hapo Chini ni video ya Dar upanga two bedroom luxury fully furnished USD 180,000.


Video ya pili hapo chini ni luxury two bedroom fully furnished apartment price 65,000 USD.



min -me T14 Armata
 
Wabongo ni vichwa pumbu...
Wana ile tamaa akipata mwanya basi hapo apige haswa ili atokee hapohapo na yeye akajenge huko chamazi....
Unakuta huyo ndubwi kapewa dili ya kuuza halafu hapo kajiwekea kama millioni 300 cha juu
 
Hapo ndio unakuj kuona utofauti wa NYUMBA na KIBANDA.

Watanzania wengi mnaishi kwenye VIBANDA na sio Nyumba.

Kibanda cha mil 20 kelele nyiiingi..
 
Back
Top Bottom