Wabongo hawapendi gated communitysio kama wakenya, sio unaona Avic town kumedoda, watu tunataka kufuga mbuzi au kulima mchicha kwenye viwanja vyetu....Naunga mkono hoja. Mbweni is overrated. Lakini katika hii ya Kenya bado hakuna gharama kamili, kwa sababu gated community lazima ina additional charges za common areas maintenance. Gharama hizo ni endelevu na zinaweza kuwa kubwa sana. Wakati mwingine unaweza kuuziwa nyumba lakini ardhi ikawa sio mali yako (leasehold).
Kwahiyo comparison yako sio like for like. Hata hivyo, Mbweni is overrated and overpriced and overhyped.
Huko Mbweni kutakufa kabisa muda sio mrefu,
Wacha watuite masikini tuna roho mbaya
Mimi bado naona Kigamboni ni mjini kabisa kuliko huko unakoweza kuvamiwa na hakuna atakaejua....