Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
Video ziko wapi? Au bando limekata? 😂Chini ni video mbili ya maghorofa ya ki fahari. Yote yako sokoni, kwenye mitaa ya kishua na fully furnished.
Video ya kwanza ni ghorofa liko Mbweni JKT ambalo liko sokoni Kwa shilling za kitanzania 1.3 Billion.
Video ya pili ni ghorofa liko Ngong Alkeri Nairobi kwenye gated estate liko sokoni Kwa shilling za Kenya million 52 Sawa na Tshillings million 900.
Kwa kulinganisha video hizi mbili Tanzania bei ya property bado juu Sana. Sijui ni njaa za madalali.
Hilo ghorofa la Nairobi ambalo ni million 900 ukilinganisha na la mwijaku 1.3 billion yani utagundua mwijaku kutupiga fiksi.
Smart911 RRONDO madmax Extrovert min -me mshamba_hachekwi
Nshaweka mkuuVideo ziko wapi? Au bando limekata? 😂
Nimeshaweka mkuuHizo video sijaziona bwashee
Ni upigaji tu bwashee mmatumbi wa kibongo akitaja bei igawanye kwa 2 halafu ushushe kimoyo moyo hata points 5 , halafu mtajia unahiyo pesa , utasikia "ongeza ongeza hapo kidogo bwashee " huku likijichekesha kama fala.Nimeshaweka mkuu
Ngong kwanza haipo Nairobi ipo County ya Kajiado.Ungeleta maghorofa mawli identical kwa ukubwa na ujenzi hoja yako ingekuwa na mantiki.Ni sawa na kulinganisha bei ya BMW Kenya na Benz Tanzania magari mawili tofauti halafu useme moja ni bei rahisi kwa sababu tu lipo Kenya bila kuzingatia utofauti wa magari na vigezo vingine.Huko Ngong wanaupepo wa bahari?
Utitiri wa kodi na upatikanaji wa materials inaweza kuwa kipengele.
Platinum member na sijawahi kuona unachangia. Ama una ID ya kificho, ama unaitelekeza JF.Naunga mkono hoja. Mbweni is overrated. Lakini katika hii ya Kenya bado hakuna gharama kamili, kwa sababu gated community lazima ina additional charges za common areas maintenance. Gharama hizo ni endelevu na zinaweza kuwa kubwa sana. Wakati mwingine unaweza kuuziwa nyumba lakini ardhi ikawa sio mali yako (leasehold).
Kwahiyo comparison yako sio like for like. Hata hivyo, Mbweni is overrated and overpriced and overhyped.
DuhNi upigaji tu bwashee mmatumbi wa kibongo akitaja bei igawanye kwa 2 halafu ushushe kimoyo moyo hata points 5 , halafu mtajia unahiyo pesa , utasikia "ongeza ongeza hapo kidogo bwashee " huku likijichekesha kama fala.
Platinum member na sijawahi kuona unachangia. Ama una ID ya kificho, ama unaitelekeza JF.
Huyo ni Mzee wa bange, rafiki yako from GhayoHizo video sijaziona bwashee