Ukilinganisha haya maghorofa Mbweni Dar es salaam na Ngong Nairobi bado bei ya nyumba Dar ipo juu Sana

Wabongo hawapendi gated communitysio kama wakenya, sio unaona Avic town kumedoda, watu tunataka kufuga mbuzi au kulima mchicha kwenye viwanja vyetu....
Huko Mbweni kutakufa kabisa muda sio mrefu,
Wacha watuite masikini tuna roho mbaya
Mimi bado naona Kigamboni ni mjini kabisa kuliko huko unakoweza kuvamiwa na hakuna atakaejua....
 
Mwenzako nimeshapata mchumba mwafrika bado mdogo. Sitaki mizungu. Umia kufa na maumivu maarassmbusii mitayos.

View attachment 3485792
Picha za kugugo hizo , hata ukipata demu siku akiona sura lako lilioza kwa bange atakukumbia.

Kama akikubali nitafanya njama ndoa isifanyike uishi maisha yako yote kama Barbarian bila Mke wala Familia , wewe kichwa kibovu Nyangwisi haustahili kuwa na familia I will sabotage that marriage, Maarass
 
Huko Ngong wanaupepo wa bahari?
Utitiri wa kodi na upatikanaji wa materials inaweza kuwa kipengele.
Hii hapa chini ya upepo wa bahari Mombasa huko mitaa ya kishua kwa Tshillings million 350.
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…