Tumpate mtakwimu atuwekee orodha ya matumizi ya viongozi! (bajeti)
Huenda wanatumia 80% ukilinganisha na mahitaji ya wanamchi nchi nzima!
Maana haiwezekani hadi Leo miaka 60 ya Uhuru tuna umeme wa mgao, barabara mbovu, Hosp zetu hazina uhakika wa huduma!
Mfano; Ebu filkilia hapo ulipo sasa hivi uking'atwa na nyoka ni zahanati au Hosp gani ya uhakika kukupatia matibabu yanayohitaji uharaka ndani ya nusu saa eneo lililo karibu yako? Au utakata moto huku unajiona ?
Ukitathimin kuna uhakika wa matibabu hospital iliyokaribu yako?
Viongozi wakibadili vipaumbele vyao viwe vya wananchi maisha yangekuwa mepesi sana!
Tunakusanya sisi wanakula wao, tunataabika sisi!