Tatizo sio kutumia mkaa! Mtu akupe mkaa uwashe uliolowana! Si uchawi huo!!Hivi hao wadada ambao hawatumii mkaa na au kuchambua\kula maharage wako wapi hasa? Bongo hii jamani asilimia kubwa ya raia ni hohehahe choka mbaya kabisa. Msichana wa kibongo atakayekimbia mkaa au mandondo atakuwa anaigiza tu. Hata kama wachache hawatumii wana ndugu zao kibao ni mafukara tu.
Acheni maisha ya kuigiza.
Hayo pia ni kati ya maendeleo au ulikua hujui?Lets be realistic. Habari za kupeana vitest sio issue. Tena vitest vyenyewe vya kupika maharage, who does know how to pretend.
Punguzeni kuwekeza mbinu na ubunifu kwenye mapenzi. Ndio kinachoturudisha nyuma kimaendeleo... kila ubunifu ni juu ya dyudyu.
Hayo pia ni kati ya maendeleo au ulikua hujui?
Alafu usifananishe Dudu na vitu vya ajabu
Naishi kwangu sio kwetu wala sio nyumba yakupanga,na nasukuma mkoko wa maana 2010 edition na pete ya uchumba ninayo....it not true that all men want woman who think cheap of themself and who want cheap things... na mungu kanipa kitu mule mule aman of my class ....kapyungu poyeeee am taken
Jiko la mkaa??? Mbona hata watu maarufu wengi tu wanapikia?Umeona eeh! Halafu Wanajiita mwanaume. Vichwa vya nyumba. Ni kweli kwa dizaini hii umaskini hautaisha. Badala ya kujibidisha na kuleta unafuu wa maisha bado una jiko la mkaa? Tupa kuleeee
Yes sababu nalipwa ku eradicate poverty na ignorance !!Alafu nawewe umekaa ukasoma na ukacomment?
Rudi nikuoe...Usiyaogope maisha..Sirudi ng'ooooo!!!!
mhhhhh haya bhanaJje's jipange![emoji1]