mgesa
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 997
- 942
Tatizo sio kutumia mkaa! Mtu akupe mkaa uwashe uliolowana! Si uchawi huo!!Hivi hao wadada ambao hawatumii mkaa na au kuchambua\kula maharage wako wapi hasa? Bongo hii jamani asilimia kubwa ya raia ni hohehahe choka mbaya kabisa. Msichana wa kibongo atakayekimbia mkaa au mandondo atakuwa anaigiza tu. Hata kama wachache hawatumii wana ndugu zao kibao ni mafukara tu.
Acheni maisha ya kuigiza.