Ukimfanyia Hivi Demu Harudi Teena..!!!

Labda maendeleo ya kuudumaza ubongo. Punguza kuwaza juu ya dyudyu. Khaa!
Wanaume tumepewa vichwa viwili ili tuvitumie kwa usawa,
Sasa nikiacha kutumia kimoja na akili zitapungua
 
Naona watu mnavyotengeneza kanuni na masharti kwenye mapenzi.
 
Um


Umewakomesha haha...huyo mwenyewe ukimpima kwa kumpa jembe alime robo eka hawezi.
Robo eka?? Wewe watu wanafuta eka kibao kwa siku bila kusuasua, sa sijui utaongea nini
 
Robo eka?? Wewe watu wanafuta eka kibao kwa siku bila kusuasua, sa sijui utaongea nini

Sijasema hawapo..nimesema anayekupa jaribio na yeye si ajabu ukimpa hata robo heka hataweza kulima
 
Eti babe utanikimbia kisa umekuja gheto nikakulisha ugali kwa maharage?
nani kasema, labda itakuwa ni stylo yetu ya siku hiyo je mimi nitakukimbia niende wapi?
 
H
aha ha ha! Hiyo ni acid test!
 
Hapana! ni uharibifu wa mazingira ilhali gesi inapatika kwa wingi nchini na kwa bei nafuu.
Basi kama ndio ivyo hata kula vegies ni uharibifu wa mimea
 
Wife material siku hizi umpe shida ivo kama mtoto yatima tena yatima ambaye wazazi pia walikuwa fukara wa misaada ya tasaf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…