Ukimfanyia Hivi Demu Harudi Teena..!!!

Mbali kote kwanini, aje kutembea na umlishe ugali ndondo akirudi tena oa kabisa.
 
Tatizo wanawake wa siku hizi hawampendi mtu wa hali ya chini na wanasahau kua kuwa tajiri au maskini n hali tu na inaweza kubadilika

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Asante dadangu! Imagine hawa wanaume yaani wanafikiri kutufanya watu wa kunyanyasa ndiyo nafasi yetu. Zamani mkaa ulipikiwa kwa kuwa maendeleo hayakuwepo na bibi zetu walifanya. Ss kuna tech kibao watuwekee mpaka mashine za kufulia kurahisisha majukumu yetu.
Ikumbukwe hatukatai kufanya majukumu yetu kama kupika n.k lakini na wao wa provide
 
labda aweamefikisha miaka 50+ bila bahati ya kuolewa..
 
Mkaa hawatumii wanaogopa kuchafua mokono na mikucha yao mirefu kama ......
 
Mbona pov[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Akiwa njiani kwenda Gongo la mboto njiani pale banana anakutana na njemba linampiga visenti demu analainika kisha jamaa anampandisha daladala haoooo wanaenda kitunda kumla mrembo.Badae anampandisha daladala kutoka kitunda mpaka banana then anapanda la goms anarudi kwao,akifika goms huyoooo anashuka zake kwao ulongoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…