Dah, hapo anaeza hisi labda ameingia kwenye kambi ya jeshi hahahahMlaze kwenye jamvi
Pitisha mchana wote bila chakula
Mpokonye simu yake asiwasiliane na mtu yoyote kwa wiki
Mlishe ugali na kachumbari kila siku
Usilipe luku mlale giza
Tembea nae kwa miguu mpk gongo la mboto
[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23]Dah, hapo anaeza hisi labda ameingia kwenye kambi ya jeshi hahahah
Naishi kwangu sio kwetu wala sio nyumba yakupanga,na nasukuma mkoko wa maana 2010 edition na pete ya uchumba ninayo....it not true that all men want woman who think cheap of themself and who want cheap things... na mungu kanipa kitu mule mule aman of my class ....kapyungu poyeeee am takenUtaendelea kuishi kwenu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Faizaaaaa unaitwa hukuuuuuuuNaishi kwangu sio kwetu wala sio nyumba yakupanga,na nasukuma mkoko wa maana 2010 edition na pete ya uchumba ninayo....it not true that all men want woman who think cheap of themself and who want cheap things... na mungu kanipa kitu mule mule aman of my class ....kapyungu poyeeee am taken
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbuka maisha yanabadilika lakini. Leo unaweza endesha mkoko wa maana kesho ukataman ata baiskeli. Yamungu mengiNaishi kwangu sio kwetu wala sio nyumba yakupanga,na nasukuma mkoko wa maana 2010 edition na pete ya uchumba ninayo....it not true that all men want woman who think cheap of themself and who want cheap things... na mungu kanipa kitu mule mule aman of my class ....kapyungu poyeeee am taken
Ushasema ya mungu ....huyo mungu anaweza nipa mkoko wa 2016 pia ya mungu mengi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbuka maisha yanabadilika lakini. Leo unaweza endesha mkoko wa maana kesho ukataman ata baiskeli. Yamungu mengi
Hahahaha mimi ntaondokea uko uko bombani ( kisimani) sirudi ng'oooooHa ha ha... alafu siku hiyo maji yawe hayapo akachote kdogo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wengine wana roho ngumu.. kesho anahamia kabisa... kukukomoa...
Na mim sikutafuti ng'ooooSirudi ng'ooooo!!!!
Utanitafuta tuNa mim sikutafuti ng'oooo
Aise siwezi kuna wanawake wengi sana kwa ratio inatakiwa iwe 1:4Utanitafuta tu