Ukimfanyia Hivi Demu Harudi Teena..!!!

Ukimfanyia Hivi Demu Harudi Teena..!!!

Unampa adhabu alafu kesho arudi!!!Nakama atafahamu hiyo ndo jaribio la kutaka kuolewa atafanya ila uko mbeleni utajuta lazma alipize
Hahhaaha akijua Utaisoma namba asee
 
Mlaze kwenye jamvi
Pitisha mchana wote bila chakula
Mpokonye simu yake asiwasiliane na mtu yoyote kwa wiki
Mlishe ugali na kachumbari kila siku
Usilipe luku mlale giza
Tembea nae kwa miguu mpk gongo la mboto
[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
Dah, hapo anaeza hisi labda ameingia kwenye kambi ya jeshi hahahah
 
Utaendelea kuishi kwenu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naishi kwangu sio kwetu wala sio nyumba yakupanga,na nasukuma mkoko wa maana 2010 edition na pete ya uchumba ninayo....it not true that all men want woman who think cheap of themself and who want cheap things... na mungu kanipa kitu mule mule aman of my class ....kapyungu poyeeee am taken
 
  • Thanks
Reactions: MC7

Faizaaaaa unaitwa hukuuuuuuu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbuka maisha yanabadilika lakini. Leo unaweza endesha mkoko wa maana kesho ukataman ata baiskeli. Yamungu mengi
 
Ushasema ya mungu ....huyo mungu anaweza nipa mkoko wa 2016 pia ya mungu mengi
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Jiko la mkaa lililolowa si issue ila mkaa ulioloa ndo kasheshe mana hautowaka kabisa
 
Naanzaje kuwasha hilo jiko kwa mfano?? Hiyo ndoa inipite hapa [emoji117][emoji117] kwa kweli
 
Lkn Fikiria kama na dingiako angemtest maza kwa ivo,,,

Na wewe Mungu anakuona!
 
Back
Top Bottom