mwanazuoni mgeni
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 1,944
- 1,726
Ucpanic Dada huo ndo ukwel ciku hz hamna wife material[emoji30] [emoji115] [emoji115]Huo ni ujinga wa kuwasha mkaa mbichi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ucpanic Dada huo ndo ukwel ciku hz hamna wife material[emoji30] [emoji115] [emoji115]Huo ni ujinga wa kuwasha mkaa mbichi
Muache ujingaUcpanic Dada huo ndo ukwel ciku hz hamna wife material[emoji30] [emoji115] [emoji115]
Hata mimi naona.Hahhaah Tupo bunge la katiba hapa
Atakae sema aiiiiiii( jiwe la Giza)Fulia nguo likunufaishe!
Mtiani gani huo wa kitaahira namna iyoSasa si kajimtihani ka siku moja tu?
Wewe jaribu hiyo tekniki alafu ulete mrejesho
Za saiziTumewachoka siku haipiti bila kuongelewa mwanamke kwa nongwa.
Eti umpitishe kwenye mishida akiweza ndiyo mwanamke wa kuoa. Hivi nyie hamwoni hata aibu nani kakwambia mwanamke ni wakumpitisha kwenye mishida? Majiko ya gesi au umeme hamuyaoni? Mnapokuja na post za kujionyesha kuwa ninyi ni mahohehahe inamaama kuwa hamfai kuwa wanaume. Kama ww ni mwanaume halafu hauwezi ku provide wewe huna maana rudi kwa wazazi u kajipange.
Acheni kujivua nguo humu jamvini. Mmoja kaja na post eti kaombwa elfu 50 na mwanamke anakuja kulia lia humu ndani. Yaani nyie ni wa kuhurumia siku hizi.
Na huko tunapoenda uchumi utaongozwa na kina mama. Wakina mama leo wanajituma sana kwasababu wameona hiyo misuruali yenu ni ushuzi tu. Wakina mama wa tabaka la chini na kati wanaoweka matenga kichwani, wanafanya biashara , wanaokopa, waliokwenye vikundi ni wengi sana. Nyie bakini kuloweka mkaa eti kujaribu binti wa kuoa.!