Ukimfanyia Hivi Demu Harudi Teena..!!!

Ukimfanyia Hivi Demu Harudi Teena..!!!

Tumewachoka siku haipiti bila kuongelewa mwanamke kwa nongwa.
Eti umpitishe kwenye mishida akiweza ndiyo mwanamke wa kuoa. Hivi nyie hamwoni hata aibu nani kakwambia mwanamke ni wakumpitisha kwenye mishida? Majiko ya gesi au umeme hamuyaoni? Mnapokuja na post za kujionyesha kuwa ninyi ni mahohehahe inamaama kuwa hamfai kuwa wanaume. Kama ww ni mwanaume halafu hauwezi ku provide wewe huna maana rudi kwa wazazi u kajipange.
Acheni kujivua nguo humu jamvini. Mmoja kaja na post eti kaombwa elfu 50 na mwanamke anakuja kulia lia humu ndani. Yaani nyie ni wa kuhurumia siku hizi.
Na huko tunapoenda uchumi utaongozwa na kina mama. Wakina mama leo wanajituma sana kwasababu wameona hiyo misuruali yenu ni ushuzi tu. Wakina mama wa tabaka la chini na kati wanaoweka matenga kichwani, wanafanya biashara , wanaokopa, waliokwenye vikundi ni wengi sana. Nyie bakini kuloweka mkaa eti kujaribu binti wa kuoa.!
Japokuwa haikuwa lazima kwangu kukujibu ila wacha tu niseme kuwa "KATIKA WATANZANIA WAWILI LAZIMA MMOJAWAPO ANA MATATIZO YA AKILI"
chambua na changanua ili uelewe.
 
Mwanamke akikupenda hata pangoni, hata porini atakufuata. Ndivyo walivyo. Kikubwa wanajali ulinzi, usalama. Ukiona wanakimbia hao ni money mongers
kweli kabisaa
 
Back
Top Bottom