fungi06
JF-Expert Member
- Jul 1, 2020
- 738
- 1,017
Ciao jf
Nimekua nikifwatilia mda mrefu wa nini wanawake wengi wa sasa kwa nini awadumu kwenye ndoa zao...jibu nililo pata litawashagaza wengi ila ni ukweli unao pingika wa kiwango kidogo
Rejea
Binadamu wa sasa wengi wetu ni modern man (nazani naeleweka maana ya modern man).. hivyo basi tunatumia mno akili kubwa kufanya kazi kubwa,, kuliko kutumia nguvu nyingi kwenye kazi kubwa kama babu zetu walivyo chanja vichaka kwa jembe ila now trekta moja heka mia kwa mda sahihi..huoni we develop?
Hivyo hivyo ndivyo tunavyo songa mbele kwa kurahisisha kila kitu ili maisha yawe bora
Turejee.
Wanaume wengi wa sasa kwenye ndoa wanasahau kitu kimoja...
"Kushirikiana"
Simaanishi kwamba kuchangishana ela yakusomesha watoto au mahitaji yote ya nyumbani kwa pamoja "no"
Ninamaanisha kimawazo, kifikra, na kimwili ikiwezekana
Wanaume wengi kwenye ndoa now wamekua wakijibebesha mizigo nakusahau kua wao wana waenzi wao ambao kwa namna moja au ingine wanaleta offspring image zao in future (wengi wataelewa ninacho maanisha hapa)
Ndio maana wengi vijana wanakuja hospital wana pressure, kisukari, etc ambayo kwa kujibebesha mizigo wakiogoopa kuongea vyema na wenzi wao..
Kama bado ujaingia kwenyd ndoa hakikisha kua
Mimi nilimshirikisha akanipa wazo ambalo now linafanya kazi mno ambalo alikuwepo akilini kwangu
Alitaka kuwe na chumba kama library cha vitabu, Pc (personal computer), now naona furaha maana nyumbani amekua na kitu anachopenda maana ni mpenzi wa vitabu pia watoto huwa husomea uko imagine haipo!!!!
Tuwe tunashirikiana akuna timu nzuri kama team ya familia
"Usipo kua loyal kwa familia yako akuna mtu atakua loyal kwako"
Shirikishaneni acheni uoga eti utapigwa juju aahwapi!
Atakupiga juju kama nyumba aipendi ili aende anapo papenda
Saidianeni sio mke wako ana mimba and bado ukiamka unataka ukute chai mezani uwai kazini
Mama mjamzito anaitaji mda wakupumzika mno mwandalie chai mfanyishe mazoezi mweke katika hali ya usafi awe bora kwani tsh ngapi kumboresha mke wako si ndo mwanamke ulie amua akuletee uzao wako
Tushirikiane na wake zetu
Warning; usiwekeze kwa mwanamke wekeza kwa mke
Nalog out

- mnasikilizana kwa lugha yenu mnayo elewana; kuhisia, kimwili, na kiakili.
- kama mnajenga nyumba hakikisha kua mnakaa pamoja kupanga mpangilio wa nyumba yenu kwa pamoja