Telewolth bin champion
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 2,386
- 6,473
Tunawaonya lkn amsikii mnatuita mtakavyo, mkiumia wakwanza humu kuja kuomba ushauriProtester hamkosekani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunawaonya lkn amsikii mnatuita mtakavyo, mkiumia wakwanza humu kuja kuomba ushauriProtester hamkosekani
Haya uliosema ni kweli ila unahitaji kuwa na lifestyle inayo support aina hio ya maisha!Ciao jf
Nimekua nikifwatilia mda mrefu wa nini wanawake wengi wa sasa kwa nini awadumu kwenye ndoa zao...jibu nililo pata litawashagaza wengi ila ni
Si mnaviziana ndio mmeamua kila mtu anataka amtie makucha mwenzie 😂 anasuburi alianzisheKweli muwe mnatushirikisha jamani
Sio kila mmoja anakaa na mwenzie kimachale kwamba anytime kitabumburuka
Hapo hata uhusiano haunogi wala hakuna bond
Kabisaa hata mimi shahidi tunaishi hivyo mwaka wa saba huu hatujawahi kulalamika kwa mtu kuhusu mahusiano yetu tuna enjoy.KAKA! Pokea pongezi zangu. ulichoongea nimekiona kwa ushuhuda, kila la heri kwenye maisha yenu na mzidi kufurahiana, nimependa mawazo yako, yasemwayo mabaya ni mengi, fumbia macho na akili mzidi kusonga mbele.
Endelea kufurahia maisha yenu ya ndoa na ninawaombea sana.Kabisaa hata mimi shahidi tunaishi hivyo mwaka wa saba huu hatujawahi kulalamika kwa mtu kuhusu mahusiano yetu tuna enjoy.
Mpaka mama mkwe wangu siku moja anasema yan nyie wa siri kweli kisa hajawahi sikia tunashtakia chochote. Kumbe sio usiri ila changamoto zilizopo n ndogo tunazimaliza tu wenyewe.
Ndiyo maana mleta mada amesema suala la KUSHIRIKISHANA, wewe ulikuw ana mipango yako peke yako ukadhani ataisoma akili yako kujua kwmba hela hiyo ni ya kujengea??? Ungemshirikisha akajua kuwa kuna tukio ambalo linahitaji pesa hakika asingenunua sufuria, hata hivyo kwa kununua sufuria hakuwa amefanya jambo baya kama mwanamke anatakiw akuwa na vifaa hivyo maana kuna masuala ya sherehe na misiba (hatuombei) kadhalika yatawahitaji muwe na hivyo ivtuAbsolute right! unajibana unajenga kila sent unayopata inapitiliza kwenye ujenzi yeye anafikiria kununua simu mpya ya Tecno. Iliwahi nitokea nahitaji mifuko 30 ya cemnet ili fundi ajenge fensi bei yake kama laki 4 narudi home nakuta wife kanunua seti ya masufuria ya kupikia.
Mzee umeoa?Kama hata Adam alishindwa kumtuliza hawa
Sembuse wewe simbilisi mmoja?
Ndiomzee umeoa?
Mkuu hiyo ni bahati wala sio ushujaa.Upo sahihi kabisa na ulichoandika hata mimi nafanya hivyo hivyo ndiyo maana nina ndoa bora duniani mpaka mbinguni.
Watu wengi wanapenda kujifunza kupitia ndoa yetu....wanaonizunguka.
Ni kweli mkuu nimewaza kama wewe.Hiiii naisoma hii thread alafu nacheka IIHIIIIIII BAGHOOSHAAA!!!!![emoji23][emoji23][emoji23].....mzee baba hayajakukuta wew,,sie tulifanya yote hayo pamoja na kuwachongea pete ya dhahabu lkn wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]......their first priority is only money, not your comfort[emoji23][emoji23][emoji23]...stop imagine nonsense bro hayajakukuta wew uenda bado uko mapenzi ya honeymoon.....subr mapenz yaote kutu hayo, nakuhakikishia utarudi hapa ukilia lia kuomba ushaur kama wenzako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Inauma sana hiyo unaweza kupiga ukauaAbsolute right! unajibana unajenga kila sent unayopata inapitiliza kwenye ujenzi yeye anafikiria kununua simu mpya ya Tecno. Iliwahi nitokea nahitaji mifuko 30 ya cemnet ili fundi ajenge fensi bei yake kama laki 4 narudi home nakuta wife kanunua seti ya masufuria ya kupikia.
Kiufupi hii ndio kanuni yangu.acha upuuzi ......wewe kama mwanaume jijenge wewe na maisha yako na watoto wako hao wanawake watakuyummisha na kukufelisha muda wao ukifika so fanya yako maliza kabisa ndio hao wanawake waje wenyewe na muda wao wa kuondoka ukifika wapanggse matako yao vumbi na kubeba mafurushi yao ya nywele bandia na kusepa. sasa wewe endelea kuishi gerezani kwa jina la mapenzi.
Hatuwezi kuthibitisha kuwa amebahatika au la kwa sababu maisha bado yanaendelea.Wapo wanawake ambao hawakuzaliwa ili wawe wake za watu na ndio wengi, wapo wachache ambao wamezaliwa ili siku moja awe mke wa mtu na mmojawapo ndio huyo mtoa mada amebahatika kuwa nae.