Ukimfanyia hivi mke wako ni vigumu kukuchukia hata uwe huna pesa

Ciao jf

Nimekua nikifwatilia mda mrefu wa nini wanawake wengi wa sasa kwa nini awadumu kwenye ndoa zao...jibu nililo pata litawashagaza wengi ila ni
Haya uliosema ni kweli ila unahitaji kuwa na lifestyle inayo support aina hio ya maisha!

Uwe una makampuni tu we unaenda kwenye vikao tu maalum hela isiwe inakunyanyua alfajiri!
 
Kweli muwe mnatushirikisha jamani

Sio kila mmoja anakaa na mwenzie kimachale kwamba anytime kitabumburuka

Hapo hata uhusiano haunogi wala hakuna bond
Si mnaviziana ndio mmeamua kila mtu anataka amtie makucha mwenzie 😂 anasuburi alianzishe
 
KAKA! Pokea pongezi zangu. ulichoongea nimekiona kwa ushuhuda, kila la heri kwenye maisha yenu na mzidi kufurahiana, nimependa mawazo yako, yasemwayo mabaya ni mengi, fumbia macho na akili mzidi kusonga mbele.
 
Mleta mada wewe ni genius wa mahusiano umepita mule mule. Waache hawa wabishi wa jamiforum wabaki kulia lia ndoa mbaya kumbe uchawi wote umewapa hapa.
 
KAKA! Pokea pongezi zangu. ulichoongea nimekiona kwa ushuhuda, kila la heri kwenye maisha yenu na mzidi kufurahiana, nimependa mawazo yako, yasemwayo mabaya ni mengi, fumbia macho na akili mzidi kusonga mbele.
Kabisaa hata mimi shahidi tunaishi hivyo mwaka wa saba huu hatujawahi kulalamika kwa mtu kuhusu mahusiano yetu tuna enjoy.

Mpaka mama mkwe wangu siku moja anasema yan nyie wa siri kweli kisa hajawahi sikia tunashtakia chochote. Kumbe sio usiri ila changamoto zilizopo n ndogo tunazimaliza tu wenyewe.
 
Endelea kufurahia maisha yenu ya ndoa na ninawaombea sana.
 
Ndiyo maana mleta mada amesema suala la KUSHIRIKISHANA, wewe ulikuw ana mipango yako peke yako ukadhani ataisoma akili yako kujua kwmba hela hiyo ni ya kujengea??? Ungemshirikisha akajua kuwa kuna tukio ambalo linahitaji pesa hakika asingenunua sufuria, hata hivyo kwa kununua sufuria hakuwa amefanya jambo baya kama mwanamke anatakiw akuwa na vifaa hivyo maana kuna masuala ya sherehe na misiba (hatuombei) kadhalika yatawahitaji muwe na hivyo ivtu
 
Umeongea vizuri ila hilo si suluhisho pekee, huenda huwajui vizuri wanawake wewe[emoji23]

Unakuja kilog log, mwenzio yupo kiquadratic equations
Unamuendea kiCALCULUS mwenzio yupo KIBAIOLOJIA
Unamuendea kiTrig mwenzio yupo kwenye stadi za kazi huko [emoji23][emoji1787]
 
Upo sahihi kabisa na ulichoandika hata mimi nafanya hivyo hivyo ndiyo maana nina ndoa bora duniani mpaka mbinguni.

Watu wengi wanapenda kujifunza kupitia ndoa yetu....wanaonizunguka.
Mkuu hiyo ni bahati wala sio ushujaa.
Inategemea mke uliyempata mawazo yenu yanaendana kwa kiasi gani.
Imagine umeoa mke ambaye anataka kila wikiendi mkatumie hela bar na wewe unawaza kununua assets na kutoa sadaka msikitini/kanisani unafikiri hapo itakuwaje?
 
Ni kweli mkuu nimewaza kama wewe.
Nimewahi kumshuhudia mzee mmoja mwenye umri wa kama miaka 55 amekimbiwa na mke wake ambaye amezaa naye watoto wakubwa wenye miaka zaidi ya 25.

Kuna mzee mwingine tena jirani mke wake ni mstaarabu sana nilikuwa namkubali sana yule mama mtoto wao wa kwanza ana miaka 35 basi huwezi amini yule mama alikuja kumchenjia yule mzee alivyostaafu kazi ikawa ni maugomvi kila siku hadi yule mzee alijihisi muda wowote atapewa sumu.

So kwenye haya mambo ya ndoa sijitii ufundi mimi tangu nimeyashuhudia haya matukio
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Inauma sana hiyo unaweza kupiga ukaua
 
Kiufupi hii ndio kanuni yangu.
Ili usije kuteseka baadae ukanywa sumu hii ndio mbinu muhimu sana.
Wasiojua haya wanaangalia upendo wa leo wanajiachia tu.
 
Wapo wanawake ambao hawakuzaliwa ili wawe wake za watu na ndio wengi, wapo wachache ambao wamezaliwa ili siku moja awe mke wa mtu na mmojawapo ndio huyo mtoa mada amebahatika kuwa nae.
Hatuwezi kuthibitisha kuwa amebahatika au la kwa sababu maisha bado yanaendelea.
Mwanamke ana uwezo wa kukuigizia kwa muda hata wa miaka 10 au 20 akiwa anavizia jambo lake na wala huwezi kugundua kiurahisi
 
Ni kweli ila kumpata mwanamke wa hivyo ni mbinde sana mkuu, shukuru Mungu we umepata huyo hata ukimshirikisha anakupa ushirikiano.

Wengine ukiwaambi ivo, utaskia we ndo ndo mwanaume sasa unaniluza mi ishu za ujenzi ntajuaje na hapo tayari dharau zitaanza ataanza kukuona we kilaza sasa unaacha kuamua maamuzi kiume yani mpaka umpelekee yeye mshauriane, kumbuka sometimes hawa watu wanapenda kipelekeshwa hata bila sababu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…