[emoji38] [emoji38] [emoji38] Unapotea halafu unanitafuta mimi pia kama nimepotea, nipo mule muleNajua ukiisoma hii comment yako unatamani uifute sema ndio hivyo tu basi.
We ulielewa umeelewa nini,....mjuaji nani sasa kati yangu na weweJamaa haelewi hadi anajidhalilisha. Ujuwaji ni shida
Halafu pia kujidhalilisha unatafsiri nini we jamaa, usi quote vitu usivyovielewa,Jamaa haelewi hadi anajidhalilisha. Ujuwaji ni shida
Mbona anaeleweka vizuri. Anasema kuwa na line zaidi ya moja kwa mtandao wa voda, mfano, ina ubaya gani, athari zake ni nini securitywise kwa nchi, citizens etcHujaelewa wanachosema yani kuwa na line zaid ya moja mtandao mmoja, mfano voda uwe na voda 1, na voda 2, uwe unaelewa kabla hujatoa matamshi kelwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Taarifa tupeleke wapi? Maana mwenyewe ni mhangaacha uishi Mkuu, km Lugha inakupiga chenga uliza wenzako
HAIRUHUSIWI kuwa na Line zaidi ya moja kwa mtandao mmoja, kwa kitambulisho cha NIDA kuanzia July Mosi 2020 km unayo katoe taarifa
nenda post #43
Yani wewe ni mbulura kumbe, nimesema line zaidi ya moja mtandao huo huo yani una voda 1, voda 2,voda 3 nini hujaelewa wewe kiboga, uelewa finyuJamaa haelewi hadi anajidhalilisha. Ujuwaji ni shida
Huyo ni kilaza zadi yako achana nae, akielewa atakuja hapa kuomba hata kufuta post yake kwa aibuSasa wewe ndo wale wale ugumu wangu wa kuelewa umetoka wapi embu rudi usome comment zte za uyo nliyem-quote kisha na aliyem-guote
Usibishane nao utauumiza kichwaIla we jamaa una ubishi wa ajabu sana.
Ahahahaaa eti mvuta ugoro..!!! Nimecheka kingoni...Halafu pia kujidhalilisha unatafsiri nini we jamaa, usi quote vitu usivyovielewa,
Line zaidi ya moja mtandao mmoja yani usiwe na voda zaidi ya nne, usiwe na tigo zaidi ya mbili,
.. Wewe umeelewa nini mvuta ugoro
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante.... tukana matusi mapya... hayo ya zamani gyashapitwa na wakatiYani wewe ni mbulura kumbe, nimesema line zaidi ya moja mtandao huo huo yani una voda 1, voda 2,voda 3 nini hujaelewa wewe kiboga, uelewa finyu
Sent using Jamii Forums mobile app
Umepotoka hapo ndiyo nimeshangaaAhahahaaa eti mvuta ugoro..!!! Nimecheka kingoni...
... situations kama hizo zipo; namiliki biashara ambazo communications sio through namba yangu binafsi bali kupitia namba ya kila biashara.Kwani kuna ulazima gani wa kumiliki laini nyingi za mtandao mmoja?
Hapo nawapongeza TCRA.
Sasa mbona mashirika ya simu yenyewe hayazuii? Mimi niliwauliza wakati nasajili line ya pili, wakaniambia hakuna tatizo na wakasajili.Wakuu heshima kwenu, kuna wakati nlisikia kuna sheria TCRA inatulazimu kuwa na ulazima wa kumiliki line moja kwa kila mtandao na mwisho ni tareh 30 Juni, 2020, hii imekaaje? Tutafungiwa laini leo?
Una familia?Kwani kuna ulazima gani wa kumiliki laini nyingi za mtandao mmoja?
Hapo nawapongeza TCRA.
Yeye amesema line zaidi ya moja akimaanisha mitandao mingine yaniMbona anaeleweka vizuri. Anasema kuwa na line zaidi ya moja kwa mtandao wa voda, mfano, ina ubaya gani, athari zake ni nini securitywise kwa nchi, citizens etc
Inategemea na mahitaji yako na uchaguzi wako wa kampuni unayoipenda. Mfano mimi nina sita za mtandao mmoja. Tatu za uwakala, moja naitumia mimi, moja ya mawasiliano kwenye sehemu yangu ya biashara, moja ya nyumbani. Tatizo ni nini? Mbona pia kuna wanaume wana wake zaidi ya mmoja wakati kifaa cha kazi ni kimoja tatizo ni nini kama una mudu kutoa huduma?Kwani kuna ulazima gani wa kumiliki laini nyingi za mtandao mmoja?
Hapo nawapongeza TCRA.
Well sad from economical point of view. Hata ukiwa na wake wengi unasaidia kupunguza tatizo la wanawake kukosa mabwana na kuwalea hivyo kupunguza ukahaba na magonjwa ya kuambukiza.Jinsi unavyozidi kuwa nazo nyingi na kuzitumia ndivyo unavyotozwa kodi nyingi zaidi na ndivyo mchango wako katika kukuza uchumi wa Taifa unavyokuwa mkubwa
Viwakala uchwara?? Usidharau Kazi za watu bwasheee hizo Kazi kuna watu wanauwezo wa kupata hadi 1.4m kwa mwezi!! Tumia lugha nyingine usiseme uchwaraMambo za majina sijui namba TANO ni ya zamani sana, siku hizi hivi viwakala uchwara tu njiani vinafufua. Buku mbili tu bwashee.
Viwakala uchwara?? Usidharau Kazi za watu bwasheee hizo Kazi kuna watu wanauwezo wa kupata hadi 1.4m kwa mwezi!! Tumia lugha nyingine usiseme uchwara
Kumbe unashangaa lwa kuwaita unaowashangaa WAVUTA UGORO... anyway NISAMEHE BURE...