Ukimiliki laini zaidi ya moja ya mtandao mmoja utalipa faini Tsh 5M au kufungwa gerezani kwa miezi 12 au vyote kwa pamoja kuanzia 1 Julai, 2020

Ukimiliki laini zaidi ya moja ya mtandao mmoja utalipa faini Tsh 5M au kufungwa gerezani kwa miezi 12 au vyote kwa pamoja kuanzia 1 Julai, 2020

Hujaelewa wanachosema yani kuwa na line zaid ya moja mtandao mmoja, mfano voda uwe na voda 1, na voda 2, uwe unaelewa kabla hujatoa matamshi kelwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona anaeleweka vizuri. Anasema kuwa na line zaidi ya moja kwa mtandao wa voda, mfano, ina ubaya gani, athari zake ni nini securitywise kwa nchi, citizens etc
 
acha uishi Mkuu, km Lugha inakupiga chenga uliza wenzako
HAIRUHUSIWI kuwa na Line zaidi ya moja kwa mtandao mmoja, kwa kitambulisho cha NIDA kuanzia July Mosi 2020 km unayo katoe taarifa
nenda post #43
Taarifa tupeleke wapi? Maana mwenyewe ni mhanga
 
Kwani kuna ulazima gani wa kumiliki laini nyingi za mtandao mmoja?
Hapo nawapongeza TCRA.
... situations kama hizo zipo; namiliki biashara ambazo communications sio through namba yangu binafsi bali kupitia namba ya kila biashara.
 
Wakuu heshima kwenu, kuna wakati nlisikia kuna sheria TCRA inatulazimu kuwa na ulazima wa kumiliki line moja kwa kila mtandao na mwisho ni tareh 30 Juni, 2020, hii imekaaje? Tutafungiwa laini leo?

Sasa mbona mashirika ya simu yenyewe hayazuii? Mimi niliwauliza wakati nasajili line ya pili, wakaniambia hakuna tatizo na wakasajili.

Hizi sheria nyingine wabunge wanazipitisha wakiwa hawako sawa kichwani, kuna sababu nyingi zinafanya mtu asajili line zaidi ya moja ikiwemo simu ya nyumbani kwa ajili ya mawasiliano baina ya mzazi na watoto.
Kama usajili umefuata taratibu zote halali, tatizo liko wapi?

Vv
 
Mbona anaeleweka vizuri. Anasema kuwa na line zaidi ya moja kwa mtandao wa voda, mfano, ina ubaya gani, athari zake ni nini securitywise kwa nchi, citizens etc
Yeye amesema line zaidi ya moja akimaanisha mitandao mingine yani
Ttcl
Voda
Tigo
Halotel

Nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kuna ulazima gani wa kumiliki laini nyingi za mtandao mmoja?
Hapo nawapongeza TCRA.
Inategemea na mahitaji yako na uchaguzi wako wa kampuni unayoipenda. Mfano mimi nina sita za mtandao mmoja. Tatu za uwakala, moja naitumia mimi, moja ya mawasiliano kwenye sehemu yangu ya biashara, moja ya nyumbani. Tatizo ni nini? Mbona pia kuna wanaume wana wake zaidi ya mmoja wakati kifaa cha kazi ni kimoja tatizo ni nini kama una mudu kutoa huduma?
 
Jinsi unavyozidi kuwa nazo nyingi na kuzitumia ndivyo unavyotozwa kodi nyingi zaidi na ndivyo mchango wako katika kukuza uchumi wa Taifa unavyokuwa mkubwa
Well sad from economical point of view. Hata ukiwa na wake wengi unasaidia kupunguza tatizo la wanawake kukosa mabwana na kuwalea hivyo kupunguza ukahaba na magonjwa ya kuambukiza.
 
Mambo za majina sijui namba TANO ni ya zamani sana, siku hizi hivi viwakala uchwara tu njiani vinafufua. Buku mbili tu bwashee.
Viwakala uchwara?? Usidharau Kazi za watu bwasheee hizo Kazi kuna watu wanauwezo wa kupata hadi 1.4m kwa mwezi!! Tumia lugha nyingine usiseme uchwara
 
Back
Top Bottom