Ukimiliki laini zaidi ya moja ya mtandao mmoja utalipa faini Tsh 5M au kufungwa gerezani kwa miezi 12 au vyote kwa pamoja kuanzia 1 Julai, 2020

mim wamenizungusha kuhusu kitambulisho tangu mwaka juzi kwanza ata kujiandikisha ilinichukua kama wiki ivi lakin adi leo sijapata ata namba yaani ovyo ovyo NIDA. kwaiyo nisiwe hewani hewan niogope kusajilia kitambulisho cha ndugu yangu. haiwezekani watukamAte tu
 
Kwani kuna ulazima gani wa kumiliki laini nyingi za mtandao mmoja?
Hapo nawapongeza TCRA.
Wewe kweli hujaangalia matumizi kwa upana. Nyumbani simu ni muhimu iwepo kama kuna mawasiliano unataka utoe utafanyeje? Nyingine unaweka kwenye duka ili atakayekuwepo apokee oda. Sasa si zinaweza kuwa za mtandao mmoja? Umeme au maji si pia unaweka mita tofauti maeneo tofauti ila kwa jina LAKO.
 
Maccm yalikiri bungeni kuwa kati ya sheria ambazo hazifai na walizipitisha kwa ushabiki tu ni pamoja na sheria hii ya umiliki wa card za simu zaidi ya moja za mtandao mmoja
 
Shida nini..? Wakizidi si tunaanza kutumia line za mitandao ya Kenya huko safaricom..
 
hii ndio nchi inayoongoza kuwa na wasomi wajinga wasio na msaada kwenye taifa lao.. apo uwenda wakawa wameahindwa kuwatambua wale watu ILE PESA TUMA UMU... system zenu bado local mkajifunze ng'ambo mtutolee kero zenu apa.. siai kitambulisho kimoja tumesajili familia nzima kikubwa mawasiliano
 
Kwani kuna ulazima gani wa kumiliki laini nyingi za mtandao mmoja?
Hapo nawapongeza TCRA.
Kwa sisi ambao tuna familia kwa mfano mimi nilisajili line ya zaid ktk mtandao mmoja kwasababu ya mwanangu atumie ktk tablet Sasa sijui hapo nitakua ktk wakosaji, kwa maana mwanangu hana kitambulisho cha NIDA na hajatimiza miaka 18.
 
Nchi ya kisenge hii
 
Au moja ya kawaida kupiga simu na nyingine umeweka kwa modem ya internet sasa hii inakaaje
 
Wakuu heshima kwenu, kuna wakati nlisikia kuna sheria TCRA inatulazimu kuwa na ulazima wa kumiliki line moja kwa kila mtandao na mwisho ni tareh 30 Juni, 2020, hii imekaaje? Tutafungiwa laini leo?

Tabia gani kuwakumbusha.... Kwanza mida hi naenda voda shop kujipatia line ya tano kama nimehesabu vizuri. Sheria nyinginezo Ni Unreasonably
 
Kwa hili wajipange upya vinginevyo wameshafeli, serikali inalipwa kodi na hayo makampuni. Wao walitakiwa watafute mbinu thabiti ya kupambana na matapeli wa mitandao ila sio kuwanyima watu haki zao za misingi.
 
Nchi hii ina upumbavu mwingi sana, hata nikiwa na laini 5 za voda tatizo lao nini? Mimi si ndo najua matumizi yake?
Mpaka sasa nina line hizi

Voda-3
Airtel - 2
Tigo-2
Ttcl-1
Halotel-2
Hawa jamaa wanazingua sana.
 
Mkuu hiyo Voda ya
ofsin inasajiliwa kwa jina la kampuni yako na hiyo ya kwako binafsi ndo inasajiliwa kwa nambako ya NIDA. Mfano kuna taasisi zinazofanya kazi ya uwakala wa kukusanya ushuru wa taasisi nyingine kwa kutumia mashine za ushuru, taasis hizo humiliki hadi line 100 ila kibali cha TCRA. So its possible ukawa hizo line zoted 2
 
Wakuu heshima kwenu, kuna wakati nlisikia kuna sheria TCRA inatulazimu kuwa na ulazima wa kumiliki line moja kwa kila mtandao na mwisho ni tareh 30 Juni, 2020, hii imekaaje? Tutafungiwa laini leo?

Yaani TCRA Wamejaa Ma UTOPOLO tu sasa kumiliki laini zaidi ya moja kwa mtandao mmoja ni kosa? Hawajui kwamba kuna router ,modem zinatumia line? Kama napenda mtandao fulani kwa ajili ya kutumia both voice na net na natumia modem/wifi router nikatafute line ya mtandao mwingine?
 
Au moja ya kawaida kupiga simu na nyingine umeweka kwa modem ya internet sasa hii inakaaje
Tafrani sana, wameacha kuwathibiti matapeli wanao watapeli watu zile msg za tuma kwenye namba hii, wanakomaa mwenye namba zaidi ya moja hawaoni watapunguza kodi ya mapoto, sijui kama wamefikiri nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa Mkuu sheria za KIPUUZI SANA ambazo zinapunguza mapato ya hayo makampuni na pia kodi ya mapato. Nchi nyingi duniani hazina sheria za KIJINGA kama hizi.

Nchi hii ina upumbavu mwingi sana, hata nikiwa na laini 5 za voda tatizo lao nini? Mimi si ndo najua matumizi yake?
Mpaka sasa nina line hizi

Voda-3
Airtel - 2
Tigo-2
Ttcl-1
Halotel-2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…