Fikra za Majalalani
Senior Member
- Dec 14, 2019
- 120
- 96
Sasa wewe ndo wale wale ugumu wangu wa kuelewa umetoka wapi embu rudi usome comment zte za uyo nliyem-quote kisha na aliyem-guoteWe ni mgumu kuelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa wewe ndo wale wale ugumu wangu wa kuelewa umetoka wapi embu rudi usome comment zte za uyo nliyem-quote kisha na aliyem-guoteWe ni mgumu kuelewa
Kabisa nkamuNchi hii ina upumbavu mwingi sana, hata nikiwa na laini 5 za voda tatizo lao nini? Mimi si ndo najua matumizi yake?
Mpaka sasa nina line hizi
Voda-3
Airtel - 2
Tigo-2
Ttcl-1
Halotel-2
Kuna mambo mawili:Sheria haiact kurudi nyuma. Hiyo sheria itawafunga wale watakaotengeneza laini kuanzia hiyo tarehe moja kwenda mbele
Labda kwako ww ndo hakuna ulazma. Wengne tunaulazma kumilikiKwani kuna ulazima gani wa kumiliki laini nyingi za mtandao mmoja?
Hapo nawapongeza TCRA.
Acha ubishi Mkuu, km Lugha inakupiga chenga uliza wenzako. HAIRUHUSIWI kuwa na Line zaidi ya moja kwa mtandao mmoja, kwa kitambulisho cha NIDA kuanzia July Mosi 2020 km unayo katoe taarifa nenda post #43Kabisa nkamu
Unashindwa kuelewa tatizo ni nini? Ingekuwa magari tungesema tatizo foleni, sasa mimi laini zangu 10 nimesajili kwa NIDA tatizo lao nini?
Harafu waambie wangeandika kwa Kiswahili mimi nipo tarime sijui kusoma hiyo.Wakuu heshima kwenu, kuna wakati nlisikia kuna sheria TCRA inatulazimu kuwa na ulazima wa kumiliki line moja kwa kila mtandao na mwisho ni tareh 30 Juni, 2020, hii imekaaje? Tutafungiwa laini leo?
Kakudanganya nani? Mbona asilimia 15 ya bodi ya mikopo tunakatwa wote hata wale waliochukua hiyo mikopo na kuanza kuilipa kabla ya hiyo sheria?Sheria haiact kurudi nyuma. Hiyo sheria itawafunga wale watakaotengeneza laini kuanzia hiyo tarehe moja kwenda mbele
Taratibu Bwashee, ni akili ya aina gani unadaiwa 1,700,000/ Line za mitandao miwili iliyofungiwa eti unaenda kwenye viwakala vya mwamvuli unalipa Buku 2 ufufue Deni la 2M na riba zake wewe sijui kabila gani Mangi, unamfuata mdaiwa wako unawajua kwanza hao waliojiunga na mitandao kutukopesha? unajua walishafikishwa Mahakamani? UlizaMambo za majina sijui namba TANO ni ya zamani sana, siku hizi hivi viwakala uchwara tu njiani vinafufua.... buku mbili tu bwashee.
Ndio kupunguza gharama za kupiga. Waweza kuwa nazo laini hata nne za mtandao mmoja kupunguza gharama za kuwasiliana ya kwanza ya ofisi ya pili ya nyumbani ya tatu yako mwenyewe ya nne ya mwanao ambaye hajafikia umri wa kuwa na kitambulisho cha taifa ili asajiliwe anayesoma tuition mbali.Kwani kuna ulazima gani wa kumiliki laini nyingi za mtandao mmoja?
Hapo nawapongeza TCRA.
Simu, modems etcKwani kuna ulazima gani wa kumiliki laini nyingi za mtandao mmoja? Hapo nawapongeza TCRA.
Taratibu Bwashee, ni akili ya aina gani unadaiwa 1,700,000/ Line za mitandao miwili iliyofungiwa eti unaenda kwenye viwakala vya mwamvuli unalipa Buku 2 ufufue Deni la 2M na riba zake
wewe sijui kabila gani Mangi, unamfuata mdaiwa wako unawajua kwanza hao waliojiunga na mitandao kutukopesha? unajua walishafikishwa Mahakamani?
uliza
We hujui kuwa waweza kuwa na router nyumbani, GPS tracker ya gari/pikipiki/Bajaj? etc.Kwani kuna ulazima gani wa kumiliki laini nyingi za mtandao mmoja?
Hapo nawapongeza TCRA.
Ila we jamaa una ubishi wa ajabu sana.Na wewe unaamini hivyo NDIVYO inapaswa kuwa? Huwezi kutumia akili zako unaenda Kama roboti.
[emoji23][emoji23]Nchi hii ina upumbavu mwingi sana, hata nikiwa na laini 5 za voda tatizo lao nini? Mimi si ndo najua matumizi yake?
Mpaka sasa nina line hizi
Voda-3
Airtel - 2
Tigo-2
Ttcl-1
Halotel-2
Ana line nyingi za kila mtandao, wewe ndiyo umekurupuka,We ndo mgumu kuelewa mbna apo kasema analain zaidi ya moja ya mtandao mmoja ama unataka kumaanisha hajaelewa nini?