mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 3,074
- 6,472
Huwa nashangaaga sana taasisi, watu binafsi, kausha damu, kwanini umkopeshe mtu hiyo pesa alafu utegemee akulipe hebu vaa viatu vya mkopaji unamkopesha mtu elfu 50 alafu unakaa wiki mbili zikipita unategemea malipo?
Ni biashara gani atafanya apate faida akupe hiyo elfu hamsini muwe na huruma juzi kati nimekaa zangu sina salio ikaja sms kutoka mpawa kopa elfu kumi nimeiangalia sana ile meseji huku nikijiuliza hivi hata kama sina salio hiyi elfu kumi nafanya nayo nini
Kitachonishawishi niwalipe nikajikuta bora lawama kuliko fedhea nikakopa nakuja kucheki sio elfu kumi tena ni elfu nane niliyoipata nyingine riba nika apa kutokuja kulipa nb watoa mikopo kabla hamjatoa mikopo walau bebeni uhusika wa mkopeshwaji sio mnawakopesha tu matokeo yake mtu asipolipa mnaona watu viburi kumbe mahitaji yanazidi hela